Kwanini waliozaliwa peke yao kwenye familia ni wabinafsi?

Watu hawafanani tabia,hata kama ungezaliwa kwa familia ya kifalme.
 
Weka ushahidi?
As per reference ipi?
Hakuna ukweli wowote
Nimeshasema “ni kwa uzoefu wangu wa kuishi na watu mbalimbali” hiyo ndo reference yangu kwahiyo kuwa kweli au uongo inategemea na uzoefu wa watu wengine pia ndo maana nimeweka uzi hapa jukwaani
 
Nimeshasema “ni kwa uzoefu wangu wa kuishi na watu mbalimbali” hiyo ndo reference yangu kwahiyo kuwa kweli au uongo inategemea na uzoefu wa watu wengine pia ndo maana nimeweka uzi hapa jukwaani
Shahidi mmoja ref comment #15
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…