Hili swali nimekuwa najiuliza mara zote tangu sakata la uchaguzi wa TFF Limalizike, maana haiingii akilini kabisa kwamba alipokuwa anaomba umakamu wa Rais alikuwa raia safi , bali kwenye urais wenyewe ndio tunamtilia shaka !
Hii iko namna ,
Naomba mwenye majibu aniwekee hapa .