Kwanini Wallace Karia achunguzwe uraia wake uchaguzi huu na si ule uliopita ?

Kwanini Wallace Karia achunguzwe uraia wake uchaguzi huu na si ule uliopita ?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hili swali nimekuwa najiuliza mara zote tangu sakata la uchaguzi wa TFF Limalizike, maana haiingii akilini kabisa kwamba alipokuwa anaomba umakamu wa Rais alikuwa raia safi , bali kwenye urais wenyewe ndio tunamtilia shaka !

Hii iko namna ,


Naomba mwenye majibu aniwekee hapa .
 
Ukweli mchungu Karia ana asilimia kubwa ya kushinda ,kila la heri Ally


Imani madega alijuwa wazi Karia ni threat na angeshinda kwa kishindo ndio maana akaanzisha figisu figisu hizo


Haha madega mjanja sana ,si umeona matokeo Karia kashinda kwa kura 95 huku wapinzani wake wakipata kura 3,1,9


Ilikuwa inajulikana wazi kuwa Karia angeshinda sasa madega akatafuta mbinu ,..Karia amekuwa mtumishi wa serikali kwa miaka mingi ,TFF alikagukuliwa alivyokuwa makamu kwann aletewe pingamizi hilo saizi jibu ilikuwa inajulikana Karia angeshinda

[emoji23] [emoji23] madega bwana
 
Back
Top Bottom