Ikitotanzila
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,409
- 2,263
Naandika hili kwa masikitiko Sana kwamba ujambazi au wizi unafundishwa makanisa haya ya kilokole.
Mfano ukienda makanisa haya utaambiwa kesho utakuwa tajiri au utaokota fuko la hela wakati inajulikana ili upate hela lazima ufanye kazi za jasho. Hawa wanapelekea kuwa ikitokea ukapoteza waleti yako akaokota mlokole hatakama upo karibu hakurudishii kwa kudhani mungu amempa hela kupitia wewe kudondosha wakati angekua muislamu atakukimbila na kukurudishia.
Mara nyingine utakuta mtu anaenda kanisani eti anataka apate kazi wakati anajua kabisa yeye ni kilaza lakini anafunfishwa kuroga waajiri kwa njia ya maombi. Jamani huu si ni uchawi kabisa.
Ndiyo Mana ulaya ulokole haupo Mana ni uongo na kuwaibia watu tu. Ulaya Kuna ukatoliki na less uanglika na KKKT tu.