Pasi, heater,Air conditioner na vinginevyo[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]Vyombo vya Moto ndo vyombo gani
Huo ni uwongo,kwani soko la kariakoo,limeungua na linajengwa soko tena umesikia kuwa pale panawekwa kitu kingine badala ya soko,?kwanini tunapenda kuzusha uongo?View attachment 2085687
Nani kachukua soko lao? Si limeungua?Kwanini hawataki uchunguzi ufanyike wajue chanzo au wanakijua tayari ndo maana wanataka waruhusiwe waendelee na mishe zao?
By the way uchunguzi utachukua siku 14 , zitaongezwa 7 kisha wataambiwa wanatafutiwa eneo lingine pale panawekwa kitu kingine ama stand ya vyombo vya moto ama kitu chochote mradi machinga wasirudi pale.