HahaaaaNa waafrica wanapenda kuitwa Matunge.
Hahaaaa
Halafu anakuwa mganga ofisi inaitwa Matunge Herbalistic Clinic hahaa
Hahah dah kumbe umemjua,sikujua unge m-notice mapema hivi mkuu hahah.
Dah asante sana mkuuHuyo Carter inaonesha alimiriki watumwa wengi, si unajua enzi hizo mtumwa ukifika US unaadopt jina la ukoo la slave master wako ndiyo mana kina Malcolm X na Muhammad Ali waliachana na majina ya ukoo ya kizungu.