Kwanini Wamarekani wengi wanaitwa akina Carter

Kwanini Wamarekani wengi wanaitwa akina Carter

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi.

Mimi naomba kujua ni kwanini Wamarekani wengi wanaitwa akina Carter. Au Carter ni jina la kiasili kama ilivyo huku kwetu majina kama Masawe, Masanja, Mayala au Mabula?

Maana sijawahi muona Mwafrika akiitwa Carter.


LONDON BOY
 
Kwanini watanzania wanapenda jina la Shaban..juma..abdalha
 
Huyo Carter inaonesha alimiriki watumwa wengi, si unajua enzi hizo mtumwa ukifika US unaadopt jina la ukoo la slave master wako ndiyo mana kina Malcolm X na Muhammad Ali waliachana na majina ya ukoo ya kizungu.
 
Back
Top Bottom