Hata ukienda kwenye maduka makubwa wamiliki wa hayo maduka wanauza vitu ambavyo wanavimiliki vikiwa dukani ila sio vile ambavyo wanavyo majumbani.Masai utakuta kabeba viatu vizuri Sana vya kimasai akitembeza kuuza.Lakini yeye mwenyewe miguuni unakuta kavaa makobasi ya matairi ya gari.Hivi ni kwa Nini ? Ni ushirikina wao au Nini?