Kwanini wamasai huuza viatu vizuri vya kimasai wakati wao huwa Wanavaa makubasi ya matairi?

Kwanini wamasai huuza viatu vizuri vya kimasai wakati wao huwa Wanavaa makubasi ya matairi?

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,902
Reaction score
52,001
Masai utakuta kabeba viatu vizuri Sana vya kimasai akitembeza kuuza.Lakini yeye mwenyewe miguuni unakuta kavaa makobasi ya matairi ya gari.Hivi ni kwa Nini ? Ni ushirikina wao au Nini?
 
wanavovivaa ni kwa ajili ya kutembelea lkn ukiwakuta maeneo yao ya kujidai wako tofauti sana
 
Ile katambuga ni ya mwendo wa masafa marefu na inaweza dumu hata mwaka kwa jozi moja sasa avae vile viatu vya urembo si unataka anunue mpya kila siku?
 
Ninamfahamu mmachinga mmoja anayenunua ndala mpya za kuvaa yeye kila baada ya siku 3 kwasababu ya masafa marefu ya kufanya uchinga.

Sasa masai yeye kajiongeza.
 
Masai utakuta kabeba viatu vizuri Sana vya kimasai akitembeza kuuza.Lakini yeye mwenyewe miguuni unakuta kavaa makobasi ya matairi ya gari.Hivi ni kwa Nini ? Ni ushirikina wao au Nini?
Hata ukienda kwenye maduka makubwa wamiliki wa hayo maduka wanauza vitu ambavyo wanavimiliki vikiwa dukani ila sio vile ambavyo wanavyo majumbani.
Yote yanafanyika kwasababu ili utengeneze faida ni lazima ujue mteja anataka nini na sio wewe unataka nini

NB. Tanzania ni nchi huru kwa wenye maslahi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom