Mkuu usitumie siasa kama kichaka cha kufichia uovu wa wakenya katika ardhi yetu. Najua mabwanyenye na wafugaji mbali mbali wa Kenya huwa wanatumia siasa uchwara za wanaharakati koko, na mazuzu kadhaa wa Tanzania kama kichochoro cha kuyafikia malengo yao ya kutuangusha kiuchumi kupitia utalii, kuvamia ardhi yetu na kuanza kulisha mifugo yao kupitia uraia wa mchongo, kulima nk. Lakini jitihada zao hizo kamwe haziwezi kuendelea tena kwa sababu kuu mbili. 1) Dunia ya sasa kupitia mitandao hii ya kijamii imeweza kutufumbua au kuwafumbua macho watu wengi na kutufanya kujua nini kinachoendelea ndani au nje ya mikapa ya nchi zetu. Na kwa hili watanzania wengi tumeshajua kati ya majirani zetu 8 tunaopeana nao mpaka, ni jirani gani ambae amekuwa akituhujumu sisi watanzania tusisonge mbele kiuchumi. Jirani huyu sasa hivi anafahamika na njia zake zote alizokuwa anatumia kutuhujumu zinajulikana hapa Tanzania, kwahiyo sisi kama taifa kamwe hatuwezi kumuacha jirani huyo aendelee kutuhujumu kupitia njia mbali mbali, ni lazima na sisi tusimame kwa umoja wetu tupambane na hujuma hizo na pia kuwafukuzilia mbali wale mawakala wao (sijui kama na ww ni mmoja wao) waliotoka nchini kwao kuja kwetu kuendeleza hujuma zao ktk ardhi yetu. Na kwahili tukishawaondoa wamasai wa mpakani na Kenya na wale wanaoishi maeneo ya hifadhi ya taifa, tutakuwa tumepiga hatua kubwa ya kuzuia hujuma hizo zinazofanywa na majirani hawa wakishirikiana na baadhi ya wamasai wa mpakani wasiokuwa wazalendo kwa taifa lao. 2) Kwa sasa serikali imeshatambua kwamba ikiendelea kuwaacha hawa manyang'au watambe ktk ardhi yetu, basi itakuwa ngumu nchi yetu kupata maendeleo kupitia utalii kwa sababu hawa wamasai wa mchongo kutoka Kenya wamekuwa wakiharibu miundo mbinu yetu ya hifadhi za taifa makusudi kabisa ili kuhakikisha hifadhi zetu zinakuwa hazina tena sifa kimataifa na kwahiyo watalii wengi wataacha kuja kwetu na badala yake watakwenda katika nchi ya jirani ambapo wao wamekuwa wakitengeneza kwao ili kuwavutia hao watalii watakao kimbia kwetu. Nakuhakikishia tena kwamb watanzania wa sasa tuko makini sana ndio maana unaona hili swala la serikali kuwahamisha wamasai, limepataa uungwaji mkono wa watanzania wengi, ukilinganisha na baadhi ya wapumbavu wachache ambao wao wako tayari kuuza hata utu wao kwa sababu ya njaa zao.