Kwanini Wamasai wa Kenya wanakerwa na jambo la Ngorongoro kuliko sisi?

Acheni upotoshaji ili mkabidhi maeneo kwa waarabu,pathetic
 
Wewe ni Masai?
 
Kwa sababu sisi hatujielewi . Simple
 
..Wamaasai wako Kenya na Tanzania.

..Hakuna Wamaasai wenye asili ya Uganda.

Kwahiyo hawa wamasai wanaolalamika kuhamishwa ni wavamizi? Kama vile yale mayahudi yaliyovamia ardhi ya wapalestina!! Maana kuna ambao wanaondoka kwa hiari na ambao hulalamika, ndio wavamizi wenyewe hao?

Kinachonishangaza kwanini mamluki wawatetee masai kuhamishwa!! Wakishirikiana na watanzania ambao wengi wao hawako bega kwa bega na mheshimiwa rais.
 
kikwete alikua rais poa sana.
lakini alipoguswa na PK alionyesha rangi yake.
kama mnakumbuka opereshen kimbunga...
sasa hawa wakenya kiama chao kinakaribia hasa hao wenye mifugo.
 
kikwete alikua rais poa sana.
lakini alipoguswa na PK alionyesha rangi yake.
kama mnakumbuka opereshen kimbunga...
sasa hawa wakenya kiama chao kinakaribia hasa hao wenye mifugo.

Pk ndio nani mkuu?
 

..jambo la msingi ni kusikilizana na kuelimishana.

..ukianza kuita watu majina, hasa majina mabaya, hutaweza kusikiliza na kuelewa hoja na shida zao.
 
Mkuu usitumie siasa kama kichaka cha kufichia uovu wa wakenya katika ardhi yetu. Najua mabwanyenye na wafugaji mbali mbali wa Kenya huwa wanatumia siasa uchwara za wanaharakati koko, na mazuzu kadhaa wa Tanzania kama kichochoro cha kuyafikia malengo yao ya kutuangusha kiuchumi kupitia utalii, kuvamia ardhi yetu na kuanza kulisha mifugo yao kupitia uraia wa mchongo, kulima nk. Lakini jitihada zao hizo kamwe haziwezi kuendelea tena kwa sababu kuu mbili. 1) Dunia ya sasa kupitia mitandao hii ya kijamii imeweza kutufumbua au kuwafumbua macho watu wengi na kutufanya kujua nini kinachoendelea ndani au nje ya mikapa ya nchi zetu. Na kwa hili watanzania wengi tumeshajua kati ya majirani zetu 8 tunaopeana nao mpaka, ni jirani gani ambae amekuwa akituhujumu sisi watanzania tusisonge mbele kiuchumi. Jirani huyu sasa hivi anafahamika na njia zake zote alizokuwa anatumia kutuhujumu zinajulikana hapa Tanzania, kwahiyo sisi kama taifa kamwe hatuwezi kumuacha jirani huyo aendelee kutuhujumu kupitia njia mbali mbali, ni lazima na sisi tusimame kwa umoja wetu tupambane na hujuma hizo na pia kuwafukuzilia mbali wale mawakala wao (sijui kama na ww ni mmoja wao) waliotoka nchini kwao kuja kwetu kuendeleza hujuma zao ktk ardhi yetu. Na kwahili tukishawaondoa wamasai wa mpakani na Kenya na wale wanaoishi maeneo ya hifadhi ya taifa, tutakuwa tumepiga hatua kubwa ya kuzuia hujuma hizo zinazofanywa na majirani hawa wakishirikiana na baadhi ya wamasai wa mpakani wasiokuwa wazalendo kwa taifa lao. 2) Kwa sasa serikali imeshatambua kwamba ikiendelea kuwaacha hawa manyang'au watambe ktk ardhi yetu, basi itakuwa ngumu nchi yetu kupata maendeleo kupitia utalii kwa sababu hawa wamasai wa mchongo kutoka Kenya wamekuwa wakiharibu miundo mbinu yetu ya hifadhi za taifa makusudi kabisa ili kuhakikisha hifadhi zetu zinakuwa hazina tena sifa kimataifa na kwahiyo watalii wengi wataacha kuja kwetu na badala yake watakwenda katika nchi ya jirani ambapo wao wamekuwa wakitengeneza kwao ili kuwavutia hao watalii watakao kimbia kwetu. Nakuhakikishia tena kwamb watanzania wa sasa tuko makini sana ndio maana unaona hili swala la serikali kuwahamisha wamasai, limepataa uungwaji mkono wa watanzania wengi, ukilinganisha na baadhi ya wapumbavu wachache ambao wao wako tayari kuuza hata utu wao kwa sababu ya njaa zao.
 
Toa ushahidi wa shutuma zako
 
Toa ushahidi wa shutuma zako
Uhamiaji wameshatia miguu kule toka juzi. Kwahiyo report ya ushahidi huu itakuja vizuri baada ya oparation yao kumalizika. Wakenya wanashindwa kuandamana ili kulishinikiza bunge litunge sheria ya kubadili sheria za ardhi, badala yake wanakuja kujazana huku kwetu kwa faida za hao hao wabunge wao na mabwanyenye wao.
 

Attachments

  • Screenshot_20220623-114440.jpg
    50.4 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220623-114548.jpg
    49.1 KB · Views: 3
Acheni upotoshaji ili mkabidhi maeneo kwa waarabu,pathetic
Mwaarabu anawekeza taifa linapata faida kutokana na uwekezaji. Mkenya anavamia ardhi analisha mifugo yake , lkn ng'ombe akishanenepa anamchinja na nyama anakwenda kuuza Kenya. Wengine wanalima ktk ardhi yetu bure, na baada ya kuvuna mazao wanakwenda kuuza Kenya. Kwahiyo tumia kichwa chako vizuri kufikiri, sio ukitumie kwa ajili ya kuhifadhia tu kamasi.
 
Inabidi oparation hii iwe endelevu ili kuhakikisha kuwa hakuna nyang'au wala kilaza wao anaetumia ardhi yetu kiholela kwa faida ya matajiri na mabwanyenye wa Kenya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…