social_science
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 1,106
- 1,260
Kuna dawa huwa wanakunywa inaitwa "ORUKUANYIRI"hii mzee baba ni noma yaani inapukutisha ndevu kama haina akili......na siyo ndevu tu mpaka MA*****ZI inapukutisha.......[emoji16][emoji16][emoji16]
Hiyo dawa haipukutishi nywele za kichwani?!Kuna dawa huwa wanakunywa inaitwa "ORUKUANYIRI"hii mzee baba ni noma yaani inapukutisha ndevu kama haina akili......na siyo ndevu tu mpaka MA*****ZI inapukutisha.......[emoji16][emoji16][emoji16]
Hiyo dawa haipukutishi nywele za kichwani?![/QUOTE duuh
Wakiwazaa wanawaua kabla public haijashuhudia!Pia sijawahi mwona mmasai albino
K ina majina mengi aisee[emoji23]kwa hiyo vibumbu vinakuwa kama vya watoto?
Kama watu wa Umuofia kwa Okonkwo na Takadini wa ZimbabweWakiwazaa wanawaua kabla public haijashuhudia!
Hii ilikuwepo kwenye mila za jamii nyingi za hapa na hata kwingine huko Africa.Wakiwazaa wanawaua kabla public haijashuhudia!
Mchango wangu unatoka nje kidogo ya mada,siku moja tunangojea usafiri majira ya 1 asubuhi pembeni kuna jamaa anauza matikiti maji ile kula kipande nikahisi tumbo limepigwa ganzi ikabidi nihairishe ila kuna masai alimaliza tikiti zima,hawa jamaa hatari sana.
Teh teh naona umeanza kwa mbwembwe japo najua una ID nyingine ila karibu jfMA**ZI[emoji736]
MA*****ZI[emoji735] and meaningless/misleading
Ila nywele kichwani inaacha...? Embu toa uongo wako hapaKuna dawa huwa wanakunywa inaitwa "ORUKUANYIRI"hii mzee baba ni noma yaani inapukutisha ndevu kama haina akili......na siyo ndevu tu mpaka MA*****ZI inapukutisha.......[emoji16][emoji16][emoji16]
Mkuu nywele kichwani huwa wanapaka udongo uliyochanganywa na dawa unaitwa "MURONG'OTI"Ila nywele kichwani inaacha...? Embu toa uongo wako hapa
[emoji16][emoji16][emoji16]Teh teh naona umeanza kwa mbwembwe japo najua una ID nyingine ila karibu jf
Labda hapo inaleta akili.. Ila kusema wanakunywa alafu kichwani zinabaki kihalisia haileti akili kabisaMkuu nywele kichwani huwa wanapaka udongo uliyochanganywa na dawa unaitwa "MURONG'OTI"
Hivyo wanaanzaga kwanza kupaka "MURONG'OTI" kisha ndo wanapiga kitu ya "ORUKUANYIRI",kumbuka maasai wanathamini sana nywele za kichwani kuliko za sehemu nyingine ya mwili