social_science
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 1,106
- 1,260
Mchango wangu unatoka nje kidogo ya mada,siku moja tunangojea usafiri majira ya 1 asubuhi pembeni kuna jamaa anauza matikiti maji ile kula kipande nikahisi tumbo limepigwa ganzi ikabidi nihairishe ila kuna masai alimaliza tikiti zima,hawa jamaa hatari sana.