Tetesi: Kwanini wamasai wanaonekana hawana ndevu

Tetesi: Kwanini wamasai wanaonekana hawana ndevu

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Bila kupoteza muda naomba kujua kwanini wamasai hawana muonekano wa ndevu au kwanini ni nadra kumuona mmasai akiwa na ndevu ?

Nitashukuru nikipata majibu
 
Nadhani kuna dawa zao za kienyeji huwa wanapaka, siku moja nilikutana na Masai maeneo ya town akaniambia njoo nikuuzie dawa ya kuua ndevu.. sikumjali japo nilikuwa na madevu tim tim.
Kwa msaada zaidi jaribu kuwauliza ukiwaona wanauza dawa za mitishamba wanaweza kukupa ufafanuzi zaidi.
 
Mwanaume yeyote lazima awe na muonekano wa Ndevu. Aidha ni nadra kuwakuta Wanaume wa Kimasai kuwa na ndevu kwakuwa huzikwangua zote kwa mujibu wa Mila zao!
 
Nilisikia mahali kwamba hua wanazichoma moto zinapukutika afu kidevu kinakua scalped kwa kuunguzwa kwahyo ndevu hazioti tena. Yani kidevu kinakakamaa kama tu watu wenye upaa
 
Babu yetu alimkamata kinyonga akatuita me na kulwa njooni hapa, akampitisha yule kinyonga kwenye kidevu na kwapani mpk leo hatunaga ndevu sisi
 
Duh hiyo dawa ukiikosea inatoa hadi nyusi
 
Kuna dawa huwa wanakunywa inaitwa "ORUKUANYIRI"hii mzee baba ni noma yaani inapukutisha ndevu kama haina akili......na siyo ndevu tu mpaka MA*****ZI inapukutisha.......[emoji16][emoji16][emoji16]
MA**ZI[emoji736]
MA*****ZI[emoji735] and meaningless/misleading
 
Kwa kweli nawacheki wamasai hapa Nanenane Njiro hawana ndevu aisee
 
Kuna dawa huwa wanakunywa inaitwa "ORUKUANYIRI"hii mzee baba ni noma yaani inapukutisha ndevu kama haina akili......na siyo ndevu tu mpaka MA*****ZI inapukutisha.......[emoji16][emoji16][emoji16]

Ingeambatana na picha ingependeza zaidi. Thanks.
 
Kuna dawa huwa wanakunywa inaitwa "ORUKUANYIRI"hii mzee baba ni noma yaani inapukutisha ndevu kama haina akili......na siyo ndevu tu mpaka MA*****ZI inapukutisha.......[emoji16][emoji16][emoji16]
Mkuu naomba contact za huyo mtu utaniwekea kwenye bus la TAQWA Harare. Maana ndevu ishakuwa kero nisiponyoa baada ya siku tatu sipati usingizi
 
Me sio mmasai na wala sins ndevu nadunda wengine wanamandevu wakiyanyoa kidevu kinakuwa kama kitana au brashi
 
Back
Top Bottom