Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 7,591
- 23,296
Jibu ni moja tu iyo lugha ya kikoloniNimekuwa nikifuatilia nyuzi nyingi za kimombo. Nimegundua kuwa hazina wachangiaji, na hivyo wasomaji. Je, tatizo ni lugha au kuna namna?
Tunaendana kweli mchumba kama na wewe unatumia reddit.Kumbe ndo wewe unayenitongozaga na blah blah zako nyingi kule 😹😹😹
Haya twende nikakuchambe dogo 🤣
Siyo wanaJF tu, Watanzania kwa ujumla kimombo ni mama mkwe; ukitaka kujua hilo waulize Bi.Chura kizimkazi, Jenister Mhagama, Magufuli na Joyce Ndalichako….wengi wao hawa hapa wanajiita Maprofesa au Madaktari🚮🚮🚮🚮Nimekuwa nikifuatilia nyuzi nyingi za kimombo. Nimegundua kuwa hazina wachangiaji, na hivyo wasomaji. Je, tatizo ni lugha au kuna namna?
Nakuzaa sio Gen Z mwenzio me 😹Tunaendana kweli mchumba kama na wewe unatumia reddit.
Nakupenda pia, mwaaa!!!Nakuzaa sio Gen Z mwenzio me 😹
HatukijuiNimekuwa nikifuatilia nyuzi nyingi za kimombo. Nimegundua kuwa hazina wachangiaji, na hivyo wasomaji. Je, tatizo ni lugha au kuna namna?
Started one na watu wamechangiaNimekuwa nikifuatilia nyuzi nyingi za kimombo. Nimegundua kuwa hazina wachangiaji, na hivyo wasomaji. Je, tatizo ni lugha au kuna namna?