Kwanini wana Yanga SC Wenzangu tulikuwa tunaombea Taifa Stars ifungwe na hata wengi wetu baada tu ya Matokeo tumenuna?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kinachonisikitisha tu ni kwamba kila ninapopita nawaona Mashabiki wa Simba na Azam wakifurahia Kilichotokea muda si mrefu huko nchi yenye Joto Kali Barani Afrika lakini kwa Mashabiki wenzangu wa Yanga SC yetu wote nawaona wamenuna mno na hata kabla ya Mtanange ndiyo waliokuwa wakizungumza sana na kuiombea Mabaya Timu yetu ya Taifa ila Mwenyezi Mungu amewakatalia.

Halafu ni kwanini lakini hawa Wachezaji wetu wa Yanga SC waliopo Taifa Stars akina Abdallah Makame na Faisal Salum pamoja na akina Metacha Mnata na hata Kelvin Yondan huwa hawana Mchango sana katika Timu kama walionao Wachezaji wa Wapinzani wetu Simba SC kama akina Jonas Mkude, Muzamir Yassin, Erasto Nyoni na Hassan Dilunga? Na Siku zote ni hawa hawa Wachezaji wa Simba SC ndiyo huwa wanaikoa na hadi Kuing'arisha Taifa Stars.

Japo Mimi ni mwana Yanga SC kabisa tena mwenye Kadi yangu ya mwaka 1990 lakini kwa huu mwenendo wa kila Siku naona tu Wachezaji wa Simba SC ndiyo wanafanye vyema katika Kikosi cha Taifa Stars naweza muda wowote kuanzia sasa nikahamia Simba SC. Na kama kweli Sisi wana Yanga SC ni Wanamichezo hasa namuomba kila mwana Yanga SC hapo alipo amuamkie Beki Erasto Nyoni kama Heshima Kubwa Kwake kwa Kufunga lile Goli zuri ambalo tokea niijue Yanga SC yangu sijawahi Kumuona Mchezaji wetu yoyote yule akifunga sana sana kila mara nashuhudia tu Wachezaji wetu Yanga SC wakiwa wanajifunga tu wenyewe.

Ila huyu Jonas Gerald Mkude kweli ni ' Injini ' kabisa katika Dimba la Kati hadi natamani ahamie Kwetu Yanga SC ila tatizo ni moja tu kuwa Yanga SC ni Masikini hatuwezi Kumlipa kama ambavyo analipwa Kitajiri kabisa huko kwa Watani zetu na wanaojua Mpira kuliko Sisi Simba SC. Na huyu Erasto Nyoni yaani anaujua Mpira hadi anakera sasa kiasi kwamba hata Beki wetu Yanga SC Lamine Moro hamfikii kabisa.

au kama vipi wana Yanga SC wote tuhamieni zetu rasmi kunako Simba Sports Club kwani huko ndiko Kumenoga hasa tu.
 
We mkuu wakati mwingine punguza ujinga unakera sana ni bahati mbaya hujui, unakumbuka leo ulipost nini?? Kwenye press ya Yanga leo waliomvea timu ya Taifa ishinde, Je simba walifanya hivo? Wakati mwingine ficha upumbavu wako. Mpuuzi wewe
 
Kwani na Wewe ni mwana Yanga SC Mwenzangu / Mwenzetu Ndugu? Vipi umelionaje lile Goli la Mchezaji wa Wapinzani wetu wa Jadi Simba Sports Club alilolifunga Erasto Nyoni? Hivi na Sisi Yanga SC hatuwezi Kuwaomba Simba SC watuazime ili tarehe 27 asaidiane na Kelvin Yondan ' Cotton ' ili Mwarabu ( Pyramids ) afungwe nasi pale CCM Kirumba Mkoani Mwanza? Sijui ni kwanini japo ni mwana Yanga SC ila kila nikiona Kikosi cha Taifa Stars kina Wachezaji wengi wa Simba SC huwa nafurahi na naomba Mungu Wachezaji wetu wa Yanga SC walioko huko Stars hata wasiwe wanapangwa kwani hawana jipya, la maana na isitoshe naona kama vile hawajui hata Mpira wenyewe na wanabahatisha tu wakati hawa Wachezaji wa Simba SC wote ukiwaangalia unaona wana Vipaji binafsi na wamebarikiwa sana na Maulana / Mola.

Sijui nihamie tu rasmi Simba SC na niachane na hii Yanga SC yangu!
 
We mkuu wakati mwingine punguza ujinga unakera sana ni bahati mbaya hujui, unakumbuka leo ulipost nini?? Kwenye press ya Yanga leo waliomvea timu ya Taifa ishinde, Je simba walifanya hivo? Wakati mwingine ficha upumbavu wako. Mpuuzi wewe
Achana naye Huyo na mpuuze, mkimjibu mnamfanya avimbe bichwa na ajione anajua kumbe mweupeeee
 
Sijui na Mchezaji wetu Abdallah Makame nae tarehe 27 October atawasaidia Waarabu ( Pyramids ) Kuwafungia Goli kama kawaida yake au hapana!
 
Hebu tuwekeeni kikosi cha leo hapa na timu walizotoka
 
Wewe mkia wa mbuzi acha kuwanga hadharan
 
We mkuu wakati mwingine punguza ujinga unakera sana ni bahati mbaya hujui, unakumbuka leo ulipost nini?? Kwenye press ya Yanga leo waliomvea timu ya Taifa ishinde, Je simba walifanya hivo? Wakati mwingine ficha upumbavu wako. Mpuuzi wewe
Huyu mkuu ndugu na shehena mkuu maalum mpumbavu sana
 
Hebu tuwekeeni kikosi cha leo hapa na timu walizotoka

Wa Simba walikuwa 5 na Yanga hawakuwepo kabisa na aliyefunga Goli la Kwanza ' Kaka Mkubwa ' Erasto Nyoni anatoka Simba SC na hata aliyetoa Pasi ya Kuzaa Goli la Pili lililotuhakikishia Ushindi Tanzania anaitwa Muzamiri Yassin nae anatokea Simba SC. Muda wowote kuanzia sasa ama naichana au naitupa kabisa chooni Kadi yangu ya Yanga SC au naichoma Moto na nahamia rasmi Simba SC ambako naona kwa sasa ndiyo Kumenoga na Kunanipendeza. Wana Yanga SC Wenzangu mtanisamehe tu kwa haya Maamuzi yangu kwani hakuna namna.
 
bora mkoloni arudi tu kma nchi hii ina majitu majinga majinga kma wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…