Kwanini wana Yanga SC Wenzangu tulikuwa tunaombea Taifa Stars ifungwe na hata wengi wetu baada tu ya Matokeo tumenuna?


Hii siyo tu kwamba ni propaganda ya 'kitoto' bali ni ya 'kijinga' pia
 

Hii siyo tu kwamba ni propaganda ya 'kitoto' bali ni ya 'kijinga' pia
 

Mtu kama wewe nadhani ni hatari kwa umoja wa taifa kwa kuleta hoja za 'kitoto' na za kizushi..Hujui mpira, huijui Yanga wala simba...nadhani bado ni mtoto mdogo usiyejua madhara ya hoja za aina hii...unachukulia masuala mazito ya kitaifa kwa mzaha na usijue madhara yake...
 
Mimi kama mwanayanga kadi namba ××××× NAWEKA MKONO JUU, NAMUAMKIA ERASTO: SHIKAMOO MZEE BABA....
 
Huna akili wewe, hujitambui mbumbumbu fc
 
Viungo ni kutoka Azam tu Mudhari na Sure Boy huyo Mkude hana lolote
 
Viungo ni kutoka Azam tu Mudhari na Sure Boy huyo Mkude hana lolote

Ngoja nimsubirie Mwanangu mwenyewe Mkude atue leo ili Kesho tutimbe zetu Viwanja kula Bata. Kama Mkude hana lolote mbona hujiulizi ni kwanini tokea alipoitwa Stars baada ya Kufukuzwa kwa Mpuuzi wenu Amunike panga pangua Yeye ndiyo Injini Kuu ya Timu na hajawahi Kukaa Benchi au hata Kufanyiwa ' Sub ' katika Mechi zake zote alizocheza? Umeshajiuliza ni kwanini labda? Ukiona hadi An Eagle namkubali Mtu jua 100% yupo vyema na kwa Tanzania hii bado sijamwona Namba Sita bora na Yule anayecheza kama Mimi ninavyotaka katika hiyo nafasi kama Mdogo wangu, Rafiki yangu na Kijana ambaye akiwa mdogo alikuwa akija sana Kunitizama An Eagle nikicheza Mpira pale Kinondoni Biafra karibu na Kwao, Uwanja wa Magunia Msasani katika Ligi, Msimbazi, Karume na hadi katika Ndondo. Wengine kama tungeamua Kucheza Mpira huenda leo hii tungekuwa kama akina Viera au Deco au Pirlo ila sema tu mambo ya Kitaaluma na Mikwara ya Wazazi enzi hizo ndizo zilituzuia. Nikikuambia Mchezaji fulani hajui Mpira amini na nikikuambia Mchezaji fulani anaujua amini. Kwa Kuanzia tu kama kuna Mchezaji ambaye kama Yanga SC wakimjenga vyema, wakimuamini na Kumtuza wanaweza wakaja Kumuuza kwa Bei Kubwa hata Ulaya endapo na Yeye pia atajitambua basi ni Beki wao Chipukizi Namba Mbili Paul Godfrey a.k.a Boksa kwani ana Kipaji cha hali ya Juu halafu anacheza ila Namba mbili yenyewe kabisa aliyokuwa akiicheza Cafu wa Brazil.

Nadhani ulimwona Jana Mkude alivyokuwa ' akitakata ' kama kawaida yake katika Dimba la Kati Ndugu. Utanuna sana tu!
 
Viungo ni kutoka Azam tu Mudhari na Sure Boy huyo Mkude hana lolote
Hii ni "CHUKI" NA "DHARAU"

Mkude ni mchezaji mzuri ila watu hawampendi ana damu ya KUNGUNI na miaka yote yupo na kiwango chake safi

Lakin kumbukeni kadumu first eleven ya Simba miaka na miaka wamekuja wachezaji kila aina wameshindwa kuchukua no yake

Ni Mtanzania mwenzetu tumpe matumaini afanyapo vizuri na pia afanyapo vibaya tumkosoe tuache tabia za chuki na dharau kwa vijana wetu

Unasema Mkude hamna kitu kwani kitu gani kibaya alifanya hapo jana au mechi zilizopita ??

Timu imeshinda akiwemo ndani bado unamdiss sasa ingefungwa ingekuaje

Ingependeza useme wapi anakosea ili ajirekebishe ningekuona una thamini mchango wake

SIKUJUI UNIJUI ILA SIO TABIA NZURI KUMDHARAU MTU
WATANZANIA TUACHE HIZI TABIA CHUKI NA DHARAU HAZIJENGI
 
Umoja upi wa Kitaifa wakati Simba ikicheza mechi za kimataifa mnaside upizani.
 
Uyo muache anastress toka juzi wanatoa maji kwenye lile Jengo pendwa na mbu
 
Sudan ni CECAFA wenzetu..taabu inaanza tukicheza na West Africans au Waarabu.
 
We papuchi sijui kwa nini ulikosekana pale msamvu
Yanga ni sawa na CCM, miaka 50 ya uhuru wanazindua ujenzi wa barabara wakati wenzao wanakwenda kutalii mwezini.
Yanga kuna ushirikina sana ndio maana wakija TAIFA STARS hawawezi, wanakuta watu wenye MUNGU NA YESU , mapepo yao yanashindwa.
 

Safi sana Ndugu na umemaliza kila Kitu. Sijaona bado kama Mwanangu mwenyewe Jonas Gerald Mkude a.k.a Deco De Souza.
 
kabla ya mechi nilikuwa kwenye gari kunakipindi kinaitwa kipenga extra sijui cha redio gani walikuwa wana mada miongoni mwa waalikwa alikuwa mshabiki wa vyura akadai yanga(sijui alikuwa anajisemea mwenyewe au wote) hawataishangilia taifa stars kwa sababu kuna kiongozi wa tff alikuwa akihojiwa na kipindi cha michezo cha radio alisema stars ni bora kwa sababu inaundwa na wachezaji toka simba ambao ni timu bora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…