SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,501
- 4,956
Kiko wapi hicho kiti...tuonyeshe. afu why ni kitu...so yeye ni mtu ana makalio na Mikono ...if so Yuko wapi mbona tunaambiwa yupo kila mahali...πππukiamini dini lazma ujitoe akilijuu zaidi palipo inuka sana,
kwenye kiti chake cha enzi cha ufalme.
πππEti turudi kwake...we unajuaje ulikuwa kwake ..unakumbuka chochote kuhusu maisha yako kabla ya kuzaliwa, πacheni kujikosha na story za waarabu na wayahudiuna
unagoma kuelewa tu,
Narudia tena,
Ili tumjue, tumpende na tumtumikie ili mwishowe tufike kwake juu mbinguni.
basi ni hivyo tu, unataka nn tena....
ni kwasabb umekuja duniani ndio maana unahoji usingekuja kipi kinabadilika,
wakati unajua fika kwamba usingekuja duniani hata iyo Infinix hungekua nayo na wala hapa JF usingekuepo.
unaweza kuniuliza tena, kwanini usingekuepo ?
ni kwasabb alietuumba ameonelea usiwepo huku kama ulivyo.
pia usingekupo huenda tusingekua na swali kama hili...
Why Mungu alitengeneza mazingira ya wao kuzingua afu adhabu tupate sisi na shetani juu...πππhizi story za kuwahadithia watoto wa chekechea...hivi we kwa akili yako timamu unaamini dunia imeumbwa siku sita Tena kabla ya jua na binadamu wawili waliishi na wanyama wote duniani na hamna kifo (sa sijui Simba alikuwa anakula hewa), πafu nyoka kaongea tu na mtu kala tunda ndo magonjwa na vifo vikaja na wewe unamuhadithia mwanao Kama ni kweli. π Tuendelee tu kutawaliwa na wazungu waafrika tuna safari ndefu sanaJibu utapata ukirudi nyuma hadi kipindi kabla Adamu na Hawa hawajamkosea Mungu
Mwanzo 1:28 BHN
Mungu akawabariki na kuwaambia, βZaeni muongezeke, mkaijaze nchi na kuimiliki; muwatawale samaki wa baharini, ndege wa angani, na kila kiumbe hai kitembeacho duniani.β
Haya matatizo yaliyojitokeza baada ya Adamu na Hawa kuzingua pale Edeni ndiyo yanayofanya wengi kama mleta mada kuuliza hilo swali
Ila Mungu alikuwa na nia nzuri sana na sisi wanadamu tuishi Edeni huku wote tunamtumikia yeye peke yake. Ila wazazi wetu wa kwanza ndio walizingua. Tunavuna alichopanda Adamu na Hawa
Ushahidi wa adamu kuwepo ni upi zaidi ya story za waarabu na wayahudi?Hapana, kwa mtazamo wangu "haujazima data" na swali lako ni zuri, inatakiwa na inapaswa kila mtu kujiuliza maswali kama hayo. Naamini aulizae ataka kujuwa.
Kabla sijaenda mbali zaidi, naona kama swali lako linanichanganya kidogo. Kwa kuwa linanichanganya itanibidi nikuulize maswali maswali mawili matatu ili nilielewe vyema.
Nimeshawahi kuona mtu akiuliza "kwanini tumeumbwa ?", lakini wewe hapana, hauna haja ya kujuwa kwanini tumeumbwa, wewe unataka kujuwa kwanini tupo duniani. Si ndivyo?
Pia naona umeshakiri na kukubali kuwa wewe ni "mwanadamu". Hapo pia umepunguza sana ya kunifanya nifikiri sana, kwani ayari unajijuwa kuwa u mwanadamu. Ingekuwa ni mtu u na si mwanadamu, kidogo jibu lingekuwa vingine na lisingeambatana maswali haya.
Pia nimefurahi sana kuona kuwa unaelewa kuwa tunangoja "kifo" tu. Maana kuna wengine huwa wanauliza "mie nangoja nini hapa duniani?", kwa hiyo na hpo umenipunguzia kazi ya kukuelewesha tunangoja nini, au siyo?
Baada ya kuyafikiria hayo maswali yangu natumai utakuwa na majibu au maswali mengine, rukhsa kuuliza tena.
Jibu lako kwa ufupi, kutokana na swali lako, upo hapa duniani kwa sababu "Adamu" alikuwa hapa duniani, na wewe umeshakiri kuwa u mwanadamu.
Nakaribisha maswali ya ziyada, kutokea kwako au kwa mwngine yeyote.
π Anachokuambia wewe na mwingine ni tofauti ndo utakachojua kwamba Mungu ni akili yako...pole hiyo inaonekana umepoteza tumaini!!
kwa kizungu tunaita βfeeling of being lostβ
mtu kutoona maana ya maisha, kutojua kwann tunaishiβ¦..
Hamna mtu anaweza kukujibu hili swali.ila naweza kukusaidia kuiondoa hii haliβ¦
1.Tambua matatizo ni sehemu tu ya maisha
2.Kila jambo lina muda wake na kila kiumbe kinapitia wakat mgumu
3.Funga na kuomba βEmptness β au purpose ya maisha ni mungu tu anaweza kukuambia
"adamu"yupi unamuongelea, maana nijuavyo mimi "adam" ni lebo ya wengi.Ushahidi wa adamu kuwepo ni upi zaidi ya story za waarabu na wayahudi?
Sikuwahi kuifikiria yoga kama kitu chenye spiritual impact lakini ningependa kujua inafanyaje kazi kwa experience yako na routines zake piaNi kupitia yoga mkuu,you can break all attachments za kuanzia utotoni mpaka hapo ulipo. Utakuwa free man. Unaweza pia kuvunja zile mambo ya kurithishana ambazo huenda ukoo hadi ukoo..
nakumbukaje wakati skuepoπππEti turudi kwake...we unajuaje ulikuwa kwake ..unakumbuka chochote kuhusu maisha yako kabla ya kuzaliwa, πacheni kujikosha na story za waarabu na wayahudi
kumbe ulishaambiwa yukao kila mahali?Kiko wapi hicho kiti...tuonyeshe. afu why ni kitu...so yeye ni mtu ana makalio na Mikono ...if so Yuko wapi mbona tunaambiwa yupo kila mahali...πππukiamini dini lazma ujitoe akili
Huyo wa Bible sijui Quran"adamu"yupi unamuongelea, maana nijuavyo mimi "adam" ni lebo ya wengi.
πBac na hautakuwepo ukifa acha fantasynakumbukaje wakati skuepo
Yuko wapi nionyeshe..πkumbe ulishaambiwa yukao kila mahali?
sasa si ungeuliza mbona humuoniπ?
bila imani huwezi ona kitu,Yuko wapi nionyeshe..π
sawa i hope wewe utakuepoπBac na hautakuwepo ukifa acha fantasy
nawewe tajiri boss!? Unatrillion ngapi bank?Maskini ndie anasema anasubiri kufa, juzi kati nmetoka na washikaji tumejichanga kwa ajili ya kwenda kula na kunywa aisee haya maisha ni matamu mno na pesa ni kila kitu
Nna buku mbili tuu hapa naipangilia inivushe wiki yote hiinawewe tajiri boss!? Unatrillion ngapi bank?
Haya mambo yamekuzidi uwezo sio kosa lakoWhy Mungu alitengeneza mazingira ya wao kuzingua afu adhabu tupate sisi na shetani juu...πππhizi story za kuwahadithia watoto wa chekechea...hivi we kwa akili yako timamu unaamini dunia imeumbwa siku sita Tena kabla ya jua na binadamu wawili waliishi na wanyama wote duniani na hamna kifo (sa sijui Simba alikuwa anakula hewa), πafu nyoka kaongea tu na mtu kala tunda ndo magonjwa na vifo vikaja na wewe unamuhadithia mwanao Kama ni kweli. π Tuendelee tu kutawaliwa na wazungu waafrika tuna safari ndefu sana
Tangu umeanza kumtafuta Mungu huyo ushampata?Hajapotea, ila unavyohangaika kutafuta pesa ndio na nguvu hizo hizo Tena na zaidi umtafute yeye...
Utamuona na nguvu zake...
Mungu aliye kuumba, Hajui kwamba unampenda?Tumjue, tumpende, tumtumikie na mwisho tufike kwake....over
Hebu leta muonekano wa huyo Mungu kama ana onekana?Mwambie aombe Toba na Rehema Kila siku kwa Imani...
Mbona Mungu anaonekana..
Tatizo amesema hakai mahali pachafu...