Hekima94
Member
- Mar 16, 2017
- 32
- 90
HAKUNA BINADAMU ANAYEJUA SIRI YA MAISHA...
Huu ndio mtihani pekee aliotoa yeye aliyetengeneza huu ulimwengu...
Kuna SAUTI ipo ndani ya kila Binadamu huo ndio msaada pekee unaoweza kukupa sababu ya maisha hapa duniani...
DINI
Ni imani za wanadamu wakijaribu kumtafuta muumba wa ulimwengu katika fikra tofauti tofauti lakini still HAKUNA ANAYEJUA UKWELI wa mambo ya Muumba.
Usijipe mzigo mzito wa kuwaza chimbuko la Muumba ukasahau kuishi vizuri hapa duniani.
Kila saa kila dakika kila sekunde inayopita hijirudii hivyo hakikisha unakuwa na mawazo chanya muda wote na unafurahia maisha yako kwasababu hatma ya unapokwenda baada ya kifo japo hatupajui ila inategemeana sana na ulivyoishi hapa duniani....