Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kaka nataka kuhamia itumba npo mbeya mjn unaweza nsaidia namba yako pm tuyajenge moja mbili 3 kuhusu mazngra ya ukoShule ya sekondari itumba iko Ileje wanatoka saa mbili usiku. Ukizingatia mazingira na jiografia ya Ileje na shule yenyewe ni mixed....halafu wamevuna SASA hivi ni mwendo WA kula nakuwaza ngono....naogopa Sana Kwa huyu binti yangu.
Ni uduwanzi wa zama hizi. Kwa kuwa ni madili ya watu, Prof. Ndakichako walimdhihaki bungebni; Mkenda akalonga kidogo wakamkoromea. Ikapita hiyo!Ni lini huu utaratibu wa watoto kupoteza muda eti kujiandaa na mitihani utaisha? Yaan ni kukaririshwa tuuu akija mtaani maisha ni tofauti na ya shule.