Shule ya sekondari itumba iko Ileje wanatoka saa mbili usiku. Ukizingatia mazingira na jiografia ya Ileje na shule yenyewe ni mixed....halafu wamevuna SASA hivi ni mwendo WA kula nakuwaza ngono....naogopa Sana Kwa huyu binti yangu.
Ni uduwanzi wa zama hizi. Kwa kuwa ni madili ya watu, Prof. Ndakichako walimdhihaki bungebni; Mkenda akalonga kidogo wakamkoromea. Ikapita hiyo!
Wanafunzi si wafungwa, na shule si magereza.
Wataalamu wangekuwa wanafungiwa maabara kama wanafunzi wanavyofungiwa madarasani labda tungekuwa mbali