A
Anonymous
Guest
Shule nyingi za serikali zimekuwa zikikataza watoto wa kike kusuka na kuna shule baadhi za serikali zina ruhusu wanafunzi wake wa kike kusuka, je hii ni sheria au ni maamuzi ya shule husika na kama maamuzi nani anasimamia ili yasitumike vibaya?
Historia fupi tu ni kwamba kipindi cha ukoloni nywele za kiafrika zilionekana kama uchafu au haziwezi kutunzwa hivyo watu walikatazwa kufuga nywele na wengine wakibaguliwa kwa sababu ya nywele zao, hata sasa ubaguzi hasa kwenye aina ya nywele upo japo hauzungumziwi sana.
Nywele zinabeba utamadni na mila za watu na kwa makabila mengi zinonekana zikinyolewa endapo kuna msiba au janga fulani, pia nywele hutumika kama identity ya mtu inamuwakilisha jinsi alivyo na utamadubi wake sasa kwanini tunawalazimisha kunyoa nywele zao.
ushauri wangu ni kwamba nywele za watoto wa kike ziachwe wasuke kama baadhi ya shulenyingine wanavyofanya staili moja kwa wote (twende kilioni) na sio kuweka shweria katika shule kunyoa hivyo swala la kunyoa au kusuka liwe maamuzi ya mzazi au mtoto mwenyewe na sio la serikari au taasisi fulani hasa kwa watoto wa kike.
nywele zetu ni utamaduni wetu
nywele zetu ni maisha yetu
nywele zetu ni utambulisho wetu
nywele zetu ni sisi