Kwanini wanafunzi wanakomaa na notes za watu ambao sio walimu

Kwanini wanafunzi wanakomaa na notes za watu ambao sio walimu

kbmk

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2013
Posts
776
Reaction score
158
Shule nyingi haswa za serikali notes zinazotumika ni za walimu wa mitaani wasiosomea ualimu. Japo mwalimu yupo lakini bado anakua km option. Shule km ilboru kulikua kuna ktu inaitwa chamber huto ndo pakusomea mtu hana haja na kuingia darasani akisoma ni notes za mtaani tu japo za mwalimu wake anazo. Je walimu husika hawawezi kuandaa desa za ukweli watoto watulie?

binafsi nliona sekondary bila tution huku Dar utaijua math, biology, chemistry, physics nk ugumu upo wapi. azania lab zipo watu haooo wanaenda kupiga practical mtaani. NYIE WALIMU TUNAWASAIDIA KUFUNDISHA MBONA MNALALAMIKA?
 
Nyie walimu malalamiko yenu yatafanywa tution zipigwe marufuku ili mfundishe nyie tu hapo ndipo itakapokua balaa shule za serikali nakumbuka Ilboru kulikua na mtu alikua anaitwa mwigulu anafundisha physics part time

(yaani analipwa na shule alikua anafundisha baada ya vipindi vya darasani) kaja bibie wa degree kalalamika jamaa kapigwa chini wanafunzi nao wakaona wapige yao ticha hawezi kazi akipewa maswali hawezi kufanya hii habari ya kukaa kujadili swali moja siku nzima utampata nani kwa advance ya Tanzania?
 
Kwa kawaida wengi wanaofundisha tuition ni wale ambao wamekosa ajira katika field zao walizo somea, na mwanafunzi anapendelea kusoma kile ambacho amefundishwa (notes alizo fundishiwa).

Hii ni kwa sababu anahisi anaelewa vizuri zaidi akizisoma notes hizo.

Kitu kingine nature ya shule na nature ya wanafunzi inaweza kudetermine nature ya ufundishaji.

Kitu kingine, ni vema kwa manafunzi kujitafutia notes kuliko kupewa kila notes na mwalimu wake.
 
Hiyo n sababu mojawapo ya wanafunz kufeli kwn hawaziamin notes z walimu wao na kusoma notes za mtaan .
 
Sasa wasiposoma kwa juhudi zao itakuwa ngumu kutoka coz mwalimu anatoa kitu kidigo sana about 20%-25% sasa hizo. Nyingine ni juhudi binafsi!! Na wengine wanaenda tuition kama ufahari huku wakijua ni vilaza!!!
 
Kimsingi mwanafunzi aliye makini huchagua notes za kusoma zile anazo amini zipo vizuri mfano nilipokua ilboru mwalimu wetu wa Advance chem aliandika notes za organic na inorganic ktk daftari la mazoezi page 80 lakini ukicheki notes za kitaa kama za mkandawili zipo katika counter book zimeshiiba haswa yaani kuna vitu vingi je mwanafunzi ataenda wapi? huyu mwalimu ndo aliyesomea education ukiuliza analeta bla bla
Kwa kawaida wengi wanaofundisha tuition ni wale ambao wamekosa ajira katika field zao walizo somea, na mwanafunzi anapendelea kusoma kile ambacho amefundishwa (notes alizo fundishiwa).

Hii ni kwa sababu anahisi anaelewa vizuri zaidi akizisoma notes hizo.

Kitu kingine nature ya shule na nature ya wanafunzi inaweza kudetermine nature ya ufundishaji.

Kitu kingine, ni vema kwa manafunzi kujitafutia notes kuliko kupewa kila notes na mwalimu wake.
 
Sababu walimu wa Tz ni wale waliofell secondari ndo wakakimbilia kule

Sio kweli.Mbona huu ujinga wa kusema walifeli na hiyo ndiyo sababu umekukaa sana?Wewe sio mwalimu hapa niki-deep sana kitaalamu ndani ya fani ya ualimu labda ndio utanielewa.
(1) Profession code of contract ya ualimu haimruhusu mwalimu kufundisha bila haya yafuatayo
(a) kuandaa lesson plan
(b) kuandaa scheme of work(annually or terminal )
(c) kuandaa subject log book na kuzitumia.
Na baada ya saa za kazi kusimamia shughuli za extra-curricula activities.
Mwalimu akirudi nyumbani amechooka sambamba na maslahi kidogo .Wakati huo huo hao wapiga tuition wako free wanaandaa NOTES zao na kuziremba ili wawavutie wanafunzi maana ile ni biashara
Mwalimu gani aliyeajiriwa atafanya kazi hiyo yote kwa malipo kidogo?
(IF YOU THOUGHT TEACHING IS A VOCATIONAL, NOW DAYS THE CASE IS VICE VERSA.)
Wewe ni mjinga sana! umeendekeza maneno unayodanganywa hapo kijiweni kwenu eti walimu walifeli jenga hoja acha umburula! usiingie humu jamvini kama huna point mpuuzi wewe!
 
Mi advance ningewategemea walimu wa darasani, yan necta ninge differentiate constant, mwalimu Anafundsha one example the whole day bhana na swali lenyewe humpiga chenga kinachofuata anasema tutalitafutia ufumbuzi kesho afu hapo eti ana degree ya mathematics kwanini nisiende kwa majembe kama kina Mwaramy eeh, jembe kama mtegetwa pale wa geography kina Evans wa uchumi kuliko kukaa darasani na mwalimu hajui kitu afu at the end (O) huku ye mshahara unaingia.
grrgrr!!
 
Advance hakuna kuremba ukiremba utakiona, kitaa wapo watu wanakata madude acha kabisa na hana hata diploma ya ualimu
 
Back
Top Bottom