Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
yule mjeda aliepita muda mwingi alikuwa anabadilisha mahospitali tu kwa umri mrefu na hadi ameondoka hata upande huu haujui maana hajawahi kukatiza huku.
huyu wa sasa siku wanamwapishwa alikuwa anatembea kama anakwea ngazi wkt sehemu yenyewe wala haina ngazi!
sasa nimejiuliza ina maana huku hamna vijana au ndovile vijana wamezingua sana kiasi wanaona isiwe taabu acha wawape mashavu vibabu?
au wana shida ya udini/ukabila/umwinyi?