omutimbasafi
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 609
- 770
Nadhani ww ndio uelewi, je unajua kwamba vikundi vingi vya waasi Congo asili yao ni kutoka nje ya Congo?Kwa kweli naongea kwa masikitiko makubwa sana, hivi kweli Wacongo wanaweza kuwauwa Watanzania kama hivi?, jibu ni BIG NO, Watamzania tunaheshima kubwa sana Congo, sisi ndio ndugu wa damu pekee kwa waCongoMan, nimezunguka Congo, hasa niseme East Congo, Nord Congo na Katanga province, kote huko (naomba niongee kicongo) Batanzanie ni batu ba kuheshimika sana,
Sio rahisi kwa mcongoman kumuua Mtanzania, Nasema hivyo kwa ushahidi wa 100% haiwezekani, hata hao watu wa Maimai chini ya Jean Kutumba aliyepo Ubembe kamwe hawezi kumuua Mtanzania, au kwa Raia Mtomboki aliyepo Urega, Shabunda, Mtanzania ni mtu wa thamani sana DRC
KITENDO CHA WATANZANIA KUWA KARIBU NA RWANDA (TUTSI) NDIO TUMEJICHIMBIA KABURI KUBWA SANA. KAMWE HATUWEZI KUWA SALAMA DRC,
Mision yetu ya kwanza tuliyokuwa nayo Congo sio tuliyonayo yo sasa (back door)"
Kamwe hatuwezi kuwa salama
Uncle kwa Siasa zako za East Africa unazoziendesha ni Bora kuwarudisha vijana wetu Nyumbani, nje ya hapo kwa kweli tutalia sana, Uncle unamapungufu makubwa sana kwenye Uelewa wako wa siasa za East and Central Africa, hasa Tutsi wakiwa main subject
Sina mengi, mods mkiamua kuufuata huu uzi sawa, lakini ntakuja na detailz za siasa za Tanzania, Rwanda, DRC na wapi tunakosea
CC: Nguruvi3 , JokaKuu , Mag3 , Pascal Mayalla
WE ARE NOT SAFE!Hata mimi mawazo yangu I think Rwanda wanatuzunguka kweli
Kagame hawezi kuwa mshauri wako wa karibu then ukabaki salama haiwezekani.
Watusi wanaitawala Kongo kwa msaada wa kagame na mseven ambao wote ni wakaribu sana kwa Dereva wa pulling.
Ikiwa watz twaweza kuvumilia nchi yetu kuongozwa na raia wa kigeni basi tuwasihi wakongo Wa vumilie ikiwa hatuwezi basi tuwasaidie kuondoa utawala huo. Tutaona mengi.
Kinachotawala ni akili ya kiongozi siyo ukubwa wa nchi. Nyerere alikuwa mmoja lakn alidrive akili za viongozi wote Africa na wakamwelewa.Hyo rwanda kila siku mwasema n kama mkoa wa mtwara leo hii inatawala Tz kwel ahahaaaaaaaa
Mbona povu hivyo na matusi mkuu, kuna tatizo kwani?Mna hata drone nyie paka weusi endleen kujenga expansio jointna vyoo vya shule kwanza
Kinachotawala ni akili ya kiongozi siyo ukubwa wa nchi. Nyerere alikuwa mmoja lakn alidrive akili za viongozi wote Africa na wakamwelewa.
Sasa usiombee kupata kiongozi mbovu popote lazima mjute.
Haijalishi Jinsia ni namna ya kuonyesha heshima tu "Mkuu"Me sio mkuu we fala ka umeingia jf juz uliza maana ya mkuu
Unamaanisha na wajeda wa jwtz pia au?hao wanajeshi wa UN wakifika Congo hawajishughulishi na kulinda amani.....wanatafuta madini na wao wanakuwa hawana tofauti na waasi, huo ndio ukweli mchungu hao wameingiliana kwenye magendo yao ya kutafuta madini na hao waasi.....
Daah sasa mkuu matusi yametokea wapi tena??
Kwa vyovyote vile tunaponzwa na sizonje kuwa karibu na Paul Kagame,, kagame Ana akili ya kung'ata na kupuliza.
Lakin huyu wetu anadhani ndio sifa kuwa karibu na kagame na mbaya anaingia kichwa kichwa atakumaliza we gosha kwan jakaya hakuwa mjinga eti.
Kagame ni nyoka hatari Sana Katika jumuiya ya AFRICA MASHARIKI
Hapa tu bongo kamwaga majasusi kila kona na usishangae anajua hadi kitanda cha Ngosha kipo kona gani ya nyumba.
M23 walikuwa vijana wa kagame, na ana kinyongo Kapigwa na JWTZ.
Kwa mtazamo wangu tumepigwa na huyu mbwa wa Rwanda. Ngosha tafadhali Sana sikiliza Ushauri watu lasivyo utatuponza Sana.
Yametoka goma kongo