Uhusiano wetu na rwanda sasa ni mzuri kuliko siku zote,
haingii akilini eti tena rwanda ianze kuua askari wetu,
labda kama jeshi letu kule lina jukumu jingine zaidi ya kulinda amani,jukumu linaloingilia interest za Rwanda,
naamini jeshi letu kule lipo kulinda amani na sio kulinda migodi ya almasi na dhahabu ya congo ili kagame asiibe madini kule,
so why our force are being targeted?
Je waasi wanalipa kisasi kwa Tanzania kwa kumkamata kiongozi wao?
Ama kuna link na majambazi yale tunayoyatwanga risasi za miguu yakafa yakikimbizwa hospitali,ama ni kweli masoja wetu wanawekea kauzibe interest za watu kule?
Kumbuka israel inategemea sana almasi ya congo kuendesha uchumi wake,main export ya israel nearly 50% ni almasi na wanazitoa katika nchi kama congo,je kuna link kati ya israel,Rwanda na hawa waasi.
Kwanini majeshi mengine hayawi targeted?