Kwanini Wanajeshi wa Tanzania wanashambuliwa DRC?

Kwanini Wanajeshi wa Tanzania wanashambuliwa DRC?

Kusikia JWTZ wanauliwa huwa naumia sana, ndo taasisi pekee ndani ya nchi ambayo naiheshimu sana licha ya mapungufu yake!! Naamin kwa wengine pia ni hvyo hvyo ....kungekuwa na comment tafaut humu kama janga hili lingewakuta wale wapambanaji wa mikusanyiko!!
 
Sio lazima kila tukio tuli link na siasa za ndani ya Tz upinzani utaendelea kufa kwa mtindo huu wa kutegemea tukio then waanze kutengeza movies
 
Hongera wewe utaishi milele
Wala usimlaumu jamaa sbb mazingira ya kuombeana mabaya tumeyatengeneza ss wenyewe.
Leo ukipita uwanja wa jeshi, kichapo utakachopewa ni cha hatari sana ni k cha mbwa mwizi. Watu wanataka kuandamana lkn jeshi litafafanya usafi siku hiyo sasa jiulize, kitu gani kinakudiwa? Watu wanaandama lkn jeshi linakuja na bunduki, mabomu na vifaru utafikiri wananchi nao wana silaha za moto.
Kibaya zaidi jeshi kwa sasa linatumiwa na wanasiasa kujiimalisha wao, leo watu wa chadema wakifanya mkutano watafuatwa na defender huku polisi wakibeba silaha za moto. Unajiuliza hawa watu vipi?
Leo watu wanapotea na wengine wanapigwa risasi mchana mchana lkn hakuna chochote kinachofanyika ndiyo maana usishangae kuona watu wanashangilia.
Yule aliyemtuma kumpiga risasi Tundu Lissu na yy ataishi milele? Leo mtu anafuta ajira kimakusudi tu ili awakomoe watu, unategemea watu wataipenda nchi yao?. Tatizo limeanzia nyumbani. Jeshi limekuwa la wanasiasa badala lifuate haki, katiba na sheria za nchi wao wanafuata mwanasiasa kafanya nini.
Mtu muovu naye hukumbwa na uovu.
 
Sio lazima kila tukio tuli link na siasa za ndani ya Tz upinzani utaendelea kufa kwa mtindo huu wa kutegemea tukio then waanze kutengeza movies
Kwa akili hizi mtakufa sana DRC. Meshazoea kuwapiga watu wasiokuwa na silaha. Wakisikia wananchi wanaandama wanakuja na silaha za moto, mabomu na vifaru cha ajabu wananchi wapo mikono tupu.
Sasa hivi wanatumiwa wanasiasa kuwateka watu na kuwaua. Kwann nanyi msife huko huko.
Malipo ni hapa hapa duniani, acha wapate haki yao.
Kuna siku nilishangaa baada ya kuwaona wanajeshi wamewabebea mpaka silaha za kundungulia ndege wananchi waliokuwa wanataka kuandamana.
"malipo ni hapa hapa duniani''
 
May them rest in peace huku niishipo kafariki mmoja kwakweli ningeshauri huo mkataba ufutwe.
 
sab

sababu zipo nyingi. Ila kubwa inaonekana ni kujiamini kupita kiasi hasa baada ya kuwashinda waasi wa M23. Kumbuka lile group lililoenda mwanzo na kuwashinda m23 lote limerudishwa nyumbani na wanapokezana linaenda group lingine. Kwahiyo kuna kujisahau na kuona kazi imebaki kidogo baada ya ushindi wa m23; kuna kupoteza umakini sababu ukiona kushambuliwa na kujeruhiwa na kuuwawa kwa idadi kubwa kiasi hicho ni dhahili walishtukizwa na hawakuwa na taadhari yoyote. Pia wanaliamini jeshi la DRC na kufanya nalo joint operations je wana uhakika ndani ya jeshi la DRC hamna mamluki wa waasi wanaovujisha siri? Tatu mbona askari ya nchi nyingine zenye askari katika kikosi cha UN kama Africa kusini na Malawi hawauwawi au wanajeshi wetu hawafati weledi?

Swali lako la tatu ndilo Fikirishi zaidi
 
Jeshi la Tanzania Congo rôle yake ni peace forcing sio peace keeping so wapo active kushambulia waasi ndo kazi yao
 
Kwa sababu DRC kuna vita vya kuligawa Taifa lao, hivyo ushiriki wetu huko ni kusaidia ili wasije wakajipenyeza na kwetu.
 
Weewee wa milele hongera
Jeshi letu lilianza kukosea pale lilipoanza kufuata kauli za wanasiasa badala ya katiba na sheria ya nchi.
Kwan waliotumwa kumpiga risasi Lissu nao wataishi milele?
"Damu ya Mwangosi bado inawalilia'' acha wapate haki yao.
Badala wajikeep busy na masuala ya jeshi wao kutwa wanazunguka na wanasiasa.
Km jeshi linawabebea bunduki, mabomu na vifaru wananchi walio mikono mitupu unafikiri hawa watamudu vita? Hiyo haipo hata siku moja
 
sab

sababu zipo nyingi. Ila kubwa inaonekana ni kujiamini kupita kiasi hasa baada ya kuwashinda waasi wa M23. Kumbuka lile group lililoenda mwanzo na kuwashinda m23 lote limerudishwa nyumbani na wanapokezana linaenda group lingine. Kwahiyo kuna kujisahau na kuona kazi imebaki kidogo baada ya ushindi wa m23; kuna kupoteza umakini sababu ukiona kushambuliwa na kujeruhiwa na kuuwawa kwa idadi kubwa kiasi hicho ni dhahili walishtukizwa na hawakuwa na taadhari yoyote. Pia wanaliamini jeshi la DRC na kufanya nalo joint operations je wana uhakika ndani ya jeshi la DRC hamna mamluki wa waasi wanaovujisha siri? Tatu mbona askari ya nchi nyingine zenye askari katika kikosi cha UN kama Africa kusini na Malawi hawauwawi au wanajeshi wetu hawafati weledi?
Kuna mtu kaniambia sawa na usavyo.
 
Jamani hizi si harakati za majeshi yetu kujiongezea kipato,Inatulazimu tuhuzunike kwa vile vifo vimetokea,lakini wazo la kujitoa siliafiki.
Jeshi halikwenda kule kufuata pesa,Kusudio kuu ni kulinda amani,hata hivyo mambo mengi wanayojifunza kinadharia wanatakiwa wakayafanye kwenye medani.Hivyo pindi matukio kama ya kulinda amani nchi inaamua kupeleka wanajeshi wake wawe na uzoefu wa kutosha wa matukio halisi.Jeshi bora ni lile lenye uzoefu na ambalo limeshashikiri kwenye mapambano mengi.
 
Kama anaiba Kongo why na nyie msiende kuiba mkijifanya wasamaria wema kongo ina matatizo yake toka 1950 mtoke kule mfanye maisha yenu Tz shenz kabisa
Hapa unapocoment ni forum iliyoanzishwa na mtz mwenye mapenzi mema na nchi yake. Unapomuita mshenzi unafanya tuamini ile genocide bado inaathari sana ktk maisha ya watutsi waliowengi. Naamini pia ww si mtutsi.
 
Huko usimsingizie kagame bwana ,Leo ukimwambia mwanajeshi aliyepo Congo arudi BOngo atalia machozi na Mara nyingi waangalie wale ambao wamepata nafasi ya kuwa Kule kwa mda mchache uone changes zao automatically Congo ukiwa na Ak 47 ndani we ni tajari .yote kwa yote gold and Diamond is.......

Naishia hapo
 
Back
Top Bottom