Kwanini wanaJF wengi wana macho mekundu na wafupi sana?

Mlianza kusema kuwa JF imejaa utapeli, mkawakatisha watu tamaa. Wenye akili wakatoa michango, bado mkaendelea kuwakatisha tamaa kuwa kuna Wana usalama wametumwa ili kuwaangali. Mlipoona mmeshindwa kabisa na safari imefana mkaja na hoja kuwa eti Wana JF wa Dar ni Wanafiki. Bado hamjaridhika na hayo yote mmekuja leo na hili tena. Kha! Ni hatari sana kuwa na watu wa dizaini hii kwenye jamii na ndio maana tunaambiwa tuna IQ ndogo kila siku.

kuna ukweli fulani hapa hususan maneno tano ya mwisho.
 
Shalom waisrael wenzangu!

Kama umebahatika kuhudhuria projects za wanaJF mara kwa mara mfano ile ya kutembelea mahosptalini nadhani hautapata shida kuthibitisha hoja yangu,

Je wekundu huu wa macho kwa wanaJF wengi unatokana na nini (Females +males) au ndio kusema kukesha kwenye screen za simu na laptop wakibrowse JF siku nzima?

Au bangi viroba na pombe ndiyo chanzo?,
Hapo kwenye ufupi sina jibu wala assumption.

ww uko kundi gani kati ya la wafupi na la wenye macho mekundu' au uko kote??
 
Kunywa safari lager huku ukifurahia jagwa bila kusahau chimbwanga na ule MJANI Lager pembeni
Nalog off
 
hahahaha jf kuna vituko sana unaanzia wapi kumchunguza mtu utafiti uache kukesha jf sasa macho yako yamezidi wekundu lol
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaa we jamaa JF noma

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Hhahahhahaha hii nimeipenda, wana jf muanze mazoezi ya basketball angalau muongezeke kidogo...
 
hahahaha jf kuna vituko sana unaanzia wapi kumchunguza mtu utafiti uache kukesha jf sasa macho yako yamezidi wekundu lol

Kwa point ya mtoa mada hapa nilipokaa wana jf kama wawili wamepita maana macho yao red sana
 
Last edited by a moderator:
Shalom waisrael wenzangu!

Kama umebahatika kuhudhuria projects za wanaJF mara kwa mara mfano ile ya kutembelea mahosptalini nadhani hautapata shida kuthibitisha hoja yangu,

Je wekundu huu wa macho kwa wanaJF wengi unatokana na nini (Females +males) au ndio kusema kukesha kwenye screen za simu na laptop wakibrowse JF siku nzima?

Au bangi viroba na pombe ndiyo chanzo?,
Hapo kwenye ufupi sina jibu wala assumption.

Macho mekundu yenye machozi machozi na hasa nyakati za jioni
 
Shalom waisrael wenzangu!

Kama umebahatika kuhudhuria projects za wanaJF mara kwa mara mfano ile ya kutembelea mahosptalini nadhani hautapata shida kuthibitisha hoja yangu,

Je wekundu huu wa macho kwa wanaJF wengi unatokana na nini (Females +males) au ndio kusema kukesha kwenye screen za simu na laptop wakibrowse JF siku nzima?

Au bangi viroba na pombe ndiyo chanzo?,
Hapo kwenye ufupi sina jibu wala assumption.

Kijana combination ngumu inaendaje?
 
Back
Top Bottom