Kwanini wanaJF wengi wana macho mekundu na wafupi sana?


kuna ukweli fulani hapa hususan maneno tano ya mwisho.
 

ww uko kundi gani kati ya la wafupi na la wenye macho mekundu' au uko kote??
 
Kunywa safari lager huku ukifurahia jagwa bila kusahau chimbwanga na ule MJANI Lager pembeni
Nalog off
 
hahahaha jf kuna vituko sana unaanzia wapi kumchunguza mtu utafiti uache kukesha jf sasa macho yako yamezidi wekundu lol
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaa we jamaa JF noma

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Hhahahhahaha hii nimeipenda, wana jf muanze mazoezi ya basketball angalau muongezeke kidogo...
 
hahahaha jf kuna vituko sana unaanzia wapi kumchunguza mtu utafiti uache kukesha jf sasa macho yako yamezidi wekundu lol

Kwa point ya mtoa mada hapa nilipokaa wana jf kama wawili wamepita maana macho yao red sana
 
Last edited by a moderator:


Macho mekundu yenye machozi machozi na hasa nyakati za jioni
 

Kijana combination ngumu inaendaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…