Kwanini wanamsakama Waziri Simba - Jaji Werema


Nime adress hili hapo juu, kwamba ukipinga muswada kwa sababu ya confidentiality/ namba ya watu basically hupingi muswada, unapinga aspect yake, na namba inaweza kushushwa hata kufika aliposema Diallo au chini yake. Kwa hiyo hii si point ya msingi, ama sivyo utasema hata shughuli za baraza la mawaziri nazo ziendeshwe na rais pekee, kwa sababu kuna maswala ya ulinzi nyeti sana yanaongelewa pale.

By they way I second kwamba huo muswada mzima ungepatikana ungekata mzizi wa fitina.

Wewe ushawapa msemo kwamba haya mambo ni confidential sana hivyo hayahitaji baraza, halafu unategemea wakuwekee muswada hapa? Wakitumia kanuni yako wewe mwenyewe kwamba hili ni suala nyeti sana kuwekwa public? Utashi wako mwenyewe kuhusu details za musada huu unaonyesha jinsi gani kuna umuhimu wa kuwa na baraza.

In general, Sophia kachemsha. Kama angekuwa anauelewa huo muswada vizuri angeusimamia na kujibu zile hoja properly. Kushindwa kwake kufanya hivyo ndiko kumepelekea muswada kupigwa chini.

Huyu Sophia tushamzoea ni mtu wa michemsho na mipasho, na nilishasema sehemu appropriate kwake ilikuwa pale Ilala kwenye mipasho. Having said that, yeye kama courtier wa Kikwete, hata kama angekuwa smart angekuwa na wakati mgumu sana kuitetea hii hoja. hii hoja ni sawa na kuwapa wabunge bonus katika system ambayo inafuata checks and balances (tatizo sisi hatuna, bunge letu haliko hata kwenye rubber stamp, ni an empty shell tu). Usiamini hata siku moja kwamba serikali ya Kiwete wanataka huu muswada upite, wanafanya maigizo tu pale, na Simba asingeweza kutetea sana huu muswada kwa sababu hiyo haikuwa nia ya serikali, walipeleka pale kama geresha tu kujionyesha kama wao wako tayari kufanyan reform.Lakini hawana nia thabiti, wangekuwa na nia kwanza wala asingeupeleka Simba pale, angeenda AG au mtu mwingine atakayejua cha kuongea.


Again this is exactly serikali ilichotaka, ukimpeleka kipanga anayejua sheria na kuongea sana anaweza kuwasomesha wabunge mpaka wakaelewa kwamba hili deal linafaa, mwishowe wakampunguzia Kikwete madaraka, Kikwete hataki hilo.
 
Kwa critic, smarter lawyer or law maker, hawezi kusema 'muswada ni mzuri isipokuwa kipengele kadha wa kadha' As the issue is so fragile and sensitive to national security, hata kukosewa kwa neno moja kungeweza kufanya huu muswada uwe objected.
 

Sikubaliani na wewe katika hili. Nilimaanisha kuwa baraza la usalama ndilo linatakiwa liweze kuconfide maswala nyeti ya usalama wa Taifa, na sio kusema kwamba eti muswada uwe confidential. Hapana, sio hivyo.

Muswada unatakiwa uwe published kwente goverment gazette some time kabla ya kujadiliwa. Nataka niamini kwamba huu nao ulikuwa published kwani muswada sio siri, kwani ndio unapelekea kwenye sheria, na sheria ya sio siri
 
Ama,

..kuna wabunge walioufananisha mswaada huo na UHAINI!! nadhani wabunge wa aina hiyo wamepitwa na wakati.
 
Ama,

..kuna wabunge walioufananisha mswaada huo na UHAINI!! nadhani wabunge wa aina hiyo wamepitwa na wakati.

Kuna watu wako katika medieval serfdom, washakula kiapo kumtetea mfalme kama noble knights, kwa hiyo ukitaka kumpunguzia nguvu mfalme of course watakuita haini.
 

Unaelewa maana ya "kuwapa msemo"?

Ukishaanza ku entertain points za confidentiality, watakumaliza na a confidentiality clause.Ukikataa uataji contradict.

Kama maswala ni confidential enough kuwa discussed na baraza tu, ka nini muswada usiwe confidential enough kuwa discussed na wabunge tu?
 

I agree with your points my friend, I once said we should be careful regarding this 'SS ' issues, to my surprise one of those guys who went against SS is Slaa!

it seems we have double standards, and nothing good can come out from SS!

Kama kuna siku tutalaumiwa ni pale mswaada huu ulipokataliwa kiaina, bila sababu ya msingi wakati umekuja wakati mzuri kabisa, SS hakukurupuka kama tulivyoaminishwa!

na hapa wafuata mkumbo hauwaoni ng'o!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…