Kwanini wananchi tuzuiliwe kwa saa mbili wakati msafara wa viongozi tunaowapisha haupo karibu?

engijape

Senior Member
Joined
Nov 8, 2014
Posts
182
Reaction score
100
Nipo natokea Arusha kuelekea mikoani. Tumesimama Minjingu kama Lisaa tukipisha Msafara na huo msafara mpaka sasa haujapita.

Busara zitumike kuona namna bora ya kusimamisha wananchi wanaosafori kiwahi majukumu mengine ya kitaifa.

Tunawheshimu viongozi wetu ila ni vyema taarifa ya msafara unapotolewa isitoleww kwa kuyazuia magari masaa mawili.

Hakuna sababu ya kufanya hivyo kwani sidhani pia kama ni amri ya viongozi wetu hao. Ni utaratibu unaoweza kuwekwa na polisi wetu.
 
sawa
 
Muulize yule mburundi VP atakuambia alichojibiwa baada ya kuataa watu kusubirishwa kwenye Foleni
 
Tulishasema sana hili.

Unakuta Kiongozi anapitia, mnakalishwa Masaa 2 pembeni ,yaan Barabara inafungwa Kiongozi bado yupo anakunywa chai.
 
Nipo natokea Arusha kuelekea mikoani. Tumesimama Minjingu kama Lisaa tukipisha Msafara na huo msafara mpaka sasa haujapita.

Busara zitumike kuona namna bora ya kusimamisha wananchi wanaosafori kiwahi majukumu mengine ya kitaifa.

Tunawheshimu viongozi wetu ila ni vyema taarifa ya msafara unapotolewa isitoleww kwa kuyazuia magari masaa mawili.

Hakuna sababu ya kufanya hivyo kwani sidhani pia kama ni amri ya viongozi wetu hao. Ni utaratibu unaoweza kuwekwa na polisi wetu.
Ni mambo ya kishamba sana, yalishaoigiwa kelele sana. Developing countries hawafanyi ujinga huu wa kusubirishana masaa eti kisa kiongoz
 
Sasa utashangaa siku ya uchaguzi ukifika eti wanapanga foleni, kwanini wengine tusistopishwe kwanza halafu yeye akapita kwenda kupiga kura?
wanakuwa wanyenyekevu hatari
 
Wewe ndugu ni muongo sana. Nipo hapa Minjingu na Mzee Mpango alipita dakika 15 tu baada ya polisi kutuzuia. Acha uzandiki usio na maana. Unapata nini kuueleza umma uongo!?
 
Ni mambo ya kishamba sana, yalishaoigiwa kelele sana. Developing countries hawafanyi ujinga huu wa kusubirishana masaa eti kisa kiongoz
Developing countries ❌
Developed countries ✅

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Sasa utashangaa siku ya uchaguzi ukifika eti wanapanga foleni, kwanini wengine tusistopishwe kwanza halafu yeye akapita kwenda kupiga kura?
Nchi ya ina viongozi wenye talented kwa maigizo kuliko kanumba
 
Back
Top Bottom