Bra-joe
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,628
- 1,124
waswahili huwa wanadai eti 'haina makombo'...
haswaa!! Haina makombo, na mdharau K*ma, K*ma ya mama yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
waswahili huwa wanadai eti 'haina makombo'...
haswaa!! Haina makombo, na mdharau K*ma, K*ma ya mama yake.
unajua nini? story unaweza kuta alikuwa anazipata siku nyingi sema alikuwa anapotezea si anajua ndoa iko mbali, sasa inapokaribia ndio mauoga na mawazo kwamba naenda kuoa ex changu yanaanza kumuingia vilivyo mwisho hatokei siku ya ndoa. jinsi ndoa inakaribia na uoga ndivyo unaongezeka na ndivyo mtu anaanza kufikiria zaidi mbinu za kujinasuaHawakimbii kwa uoga hao ni issue ambazo wanakuja zijua close to wedding day
-Si unajua uswahili ukishatangaza ndoa wambea wengi watakuletea fitna na umbea bila hata malipo, sasa hapo akili kwe mkichwa.
-Chengine mtu anakuja jua kuwa mwenzie ni msanii, hii ni kwa wadada kama umemuingia jamaa kwasababu anagari na mapesa kedekede zinapokaribia siku uongo unazidi kudhahirika, mtu anaamua asepe.
-Wakaka pia huwacha wadada kwenye mataa, wakijua walikula sahani moja na rafiki/ndugu zao. Zaidi akijua kuwa yule aliyekuwa akimwona kifaa ni ex Changudoa.
Na story nyingi tu, lakini mimi bado nafikiri namba moja ndio inahusu wengi, kusikiliza maneno ya watu. Vipi umpende mtu 5years and all of sudden mtu akupe kaumbea fulani unabadili uamuzi. Ulipopenda utakuwa umependa as person sasa leo iweje?
Kwa nini umeamua hivi ndugu yangu?haswaa!! Haina makombo, na mdharau K*ma, K*ma ya mama yake.
Ndio nini?sijaelewa