Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
Bado wanakuwa hawajashikwa masikio na wakubwaWakuu hii imekaaje,?
Yani how comes kwenye nchi nyingi ambazo yamefanyika mapinduzi ya kijeshi,wafanya mapinduzi huwa ni junior officers yani luteni kanali kushuka chini.
Hawa senior officers wao huwa wanakua wapi?