Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,316 Reaction score 871,876 Oct 5, 2025 #21 tang'ana said: Wakuu hii imekaaje,? Yani how comes kwenye nchi nyingi ambazo yamefanyika mapinduzi ya kijeshi,wafanya mapinduzi huwa ni junior officers yani luteni kanali kushuka chini. Hawa senior officers wao huwa wanakua wapi? Click to expand... Bado wanakuwa hawajashikwa masikio na wakubwa
tang'ana said: Wakuu hii imekaaje,? Yani how comes kwenye nchi nyingi ambazo yamefanyika mapinduzi ya kijeshi,wafanya mapinduzi huwa ni junior officers yani luteni kanali kushuka chini. Hawa senior officers wao huwa wanakua wapi? Click to expand... Bado wanakuwa hawajashikwa masikio na wakubwa
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Oct 6, 2025 #22 Wanaagizwa... Cc: Mahondaw
a sinner saved by Christ JF-Expert Member Joined Feb 19, 2017 Posts 4,014 Reaction score 4,600 Oct 6, 2025 #23 The mission 2017 said: Senior officer nao hua wanakuwepo kwenye mgao Click to expand... hili ndio jibu senior huwa wako kwenye PAYROLL.
The mission 2017 said: Senior officer nao hua wanakuwepo kwenye mgao Click to expand... hili ndio jibu senior huwa wako kwenye PAYROLL.