Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,517
- 9,762
Karibu jukwaani kijana wangu Safari. Nadhani licha ya kufundishwa fursa za ujasilia mali huwa zinaoneshwa na serikali hafu wananchi mnazifuata mfano wachina, indonesia, Singapore etc.
Dhana ya ujasiliamali ni pana sana na wenye tunaweza kuwachukulia kama intrapreneurs yaani mtu ambaye anafanya mambo kijasiliamali japokuwa kaajiriwa ama anafanya kazi kwenye firm ya mtu mwingine