KWANINI???? Wanaofundisha ujasiriamali si wajasiriamali

Karibu jukwaani kijana wangu Safari. Nadhani licha ya kufundishwa fursa za ujasilia mali huwa zinaoneshwa na serikali hafu wananchi mnazifuata mfano wachina, indonesia, Singapore etc.

Dhana ya ujasiliamali ni pana sana na wenye tunaweza kuwachukulia kama intrapreneurs yaani mtu ambaye anafanya mambo kijasiliamali japokuwa kaajiriwa ama anafanya kazi kwenye firm ya mtu mwingine
 

huko kufundisha ujasiriamali ndo ujasiriamali wao.
 
haha hahaaaa
nawapenda wale wanaofundisha kutengeneza sabuni, chaki, shampoo, mishumaa n.k

lolz .. wanafundisha hao, na wanakuaminisha kabisa uwezekano wa wewe kufungua kiwanda. Mwangalie mwalimu sasa,,,, utachokaaa

we umenielewa vizuri aisee.... kwanini yeye asifungue hicho kiwanda atengeneze pesa zaidi.
 

go back to your books, kuna two schools of thought whether they r born or made. wote wana argument nzito na mifano hai, example baba wa kihindi na mtoto wake dukani wote na benki zamu.
 
Haa, nadhani huwa huelewi somo. Huko kukufundisha wewe ndio UJASIRIAMALI kwao wao waliouchagua kuutekeleza kwa vitendo!!!!

 
Rich Dad, Poor Dad: What the Rich Teach Their Kids About Money--That the Poor and the Middle Class Do Not! (Miniature Edition): Robert T. Kiyosaki: 9780762434275: Amazon.com: Books
 
nao wana uelewa wa vitabuni tu, ni sawa na wanamazingaombwe wanaotengeneza hela wakati wao maskin
 
Kuna vitu viwili mnachanganya, Entrepreneurship skills na Entrepreneur. kinacho fundishwa ni entrepreneurship skills au business skills, na hizi skills hufanya kazi kwa ambaye tiyari ni entrepreneur, hizi skills ni kama vile, Marketing planing, business planing, how to price, promote, sales, manage business na alike.
Ujasiriamali haufundishwi, hakuna chuo cha kuwabadili watu kuwa wajasiriamali,
Ujasiriamali, hutoka moyoni mwako huhitaji kozi ya aina yoyote ile ili uwe mjasiriamali, but unahitaji kozi mbalimbali ku bust ujasiriamali wako
 

nimekusoma mkuu unabuni kitu then unafanikiwa iyo ni akili yako hakuna mtu aliyekufundisha hapo na mpaka umefanikiwa lazima utakuwa umekumbana na vikwazo vingi sana ukavumilia sasa nani anayeweza kukufundisha kuvumilia vikwazo? ila baada ya kuona mafanikio ndo unaweza sasa ku develop skills ie business skills.
 
Kuna jamaa tupo nae arusha anauza vitabu vya "Jinsi ya kuwa tajiri huu mwaka wa 4 anaviuza sasa ndio tunajiuliza kwanin asivisome yeye ili awe tajiri? Au hajui kusoma au mganga hajigangi?
 

wahadhili wengi ni waoga sana wa take risk kwa sababu wanakalukuleti mnoo risks so they end up with loosing even to taking their ideas into practice
 
wahadhili wengi ni waoga sana wa take risk kwa sababu wanakalukuleti mnoo risks so they end up with loosing even to taking their ideas into practice

au unakuta mtu ana CPA au Bcom ameajiriwa anafanya kazi mpaka anazeeka.
 
Hata PADRE anafundisha kuhusu ndoa na yeye hana NDOA........Sikiliza unachofundishwa na sio kuangalia mfundishaji anafanya nini!

Mkuu kuna baadhi ya mambo bila practice huwezi kuwa best teacher, ndo maana Dr na fani nyingine lazima waende mazoezi kwa vitendo. Moja ya tatizo kubwa sana linaloikabili sekta ya kilimo na mifugo hapa nchini ni tatizo la wahitimu wengi kuto practice wanachoamini, haiwezekani wewe ni bwana shamba au mifugo huta hat ekari moja unayolima wala mbuzi mmoja! utamshauri nini mwanakijiji? Kocha mzuri sana wa mpira ni yule ambaye zamani alikuwa mchezaji na siyo hawa commentators au mashabiki. Mengi au Baressa wanaweza kuwa waalimu wazuri sana wa ujasiriamali.
 

Mourinho, Wenger na Villas-Boas walicheza mpira wapi?
 
Wengi wanaofundisha ni sawa na matapeli tu!Mtu anakueleza eti mtaji si kitu cha lazima sana bali nia!Ni sawa lakini sheria za nchi zikoje?sheria inayokulazimisha kulipia leseni,vibali na mapato kabla hata hujaanza biashara inakwenda tofauti kabisa na maelezo yao. Hawawezi kufanya ujasilia mali kwani mfumo wa elimu ndio upo kitapeli tapeli!Huwezi kufundisha udaktari kama wewe si daktari.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
hiyo njia yenyewe wanayopiga pesa kwa hizo semina na yenyewe ndio ujasiriamali wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…