KWANINI???? Wanaofundisha ujasiriamali si wajasiriamali

kwahiyo hata mimi nikiajiriwa kuwa auditor, ina maana ujasiriamali wangu ni kukagua mahesabu?
au nikiajiriwa mwalimu ina maana ujasiriamali wangu ni kufundisha wanafunzi?? sijui nimeenda sawa na ulichokisema?

Mkuu entrepreneurship ni field psns na dynamic, just google intrapreneurship or corporate entrepreneuship utapanua uelewa wako zaidi.
 
mi nadhani kuongea na kutenda mara nyingi hakuendi sambamba ila kusikiliza na kutenda ni rahisi zaidi
 

Mourinho, Wenger na Villas-Boas walicheza mpira wapi?

Ukichukua sample ya makocha 1000 ukawafanyia utafiti matokea yake most likely yatakuwa asilimia kubwa ya wenye mafanikio makubwa ni wale ambao walikuwa ni wachezaji, lakini kutakuwa na exceptional cases za akina Mourinho but ni asilimia chache. So in conclusion watachukua matokeo ya walio wengi. Leo hii kuna watu wanatibu malaria kwa chloroquine licha ya tafiti kuonyesha kwamba dawa hiyo imedunda kwa walio wengi, so hizo ni exceptional cases.
 
Kuna jamaa tupo nae arusha anauza vitabu vya "Jinsi ya kuwa tajiri huu mwaka wa 4 anaviuza sasa ndio tunajiuliza kwanin asivisome yeye ili awe tajiri? Au hajui kusoma au mganga hajigangi?

kuuza hivyo vitabu ndo ujasirimali wake
 
Kufundisha (kuongea) rahisi sana! Kila mara nashauri, tafuta mentor siyo consultant. Mentor ni mtu anayejua ramani, na anaitmia hivyo anajua changamoto na jinsi ya kukutoa kwenye tope utakapokwama.
 
Mnapaswa kujua ya kwamba, wahadhiri n.k walikuzwa na falsafa "Go to school, study hard, to GET A JOB WITH GOOD PAY". Wala si "Go to school, study hard, get a good grade to START YOUR CORPORATION". Wakufunzi hao wanakuza, bila ya wao kujua, dhana hiyo ya awali.
Tunahitaji mtizamo mpya.
 
Hata mfanya biashara alie hangaika kutoka kimaiha atamu'insist mwanae aende shule ,hawezi kumchukua tu akamuweka kwenye hyo biashara aliopo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…