Kwanini wanaotekwa wengi huteswa kwanza kabla ya kuuawa?

Kwanini wanaotekwa wengi huteswa kwanza kabla ya kuuawa?

Gulio Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
3,325
Reaction score
7,807
Nimekaa nawaza kwanini watekwaji wanakufa vifo vya kuteswa sana mpaka kiasi cha kufikia hatua ya kupigwa nondo mpaka kufa?

Lengo la watekaji huwa nini Kuna taarifa gani huwa wanazitaka kutoka kwa mtu waliomteka? Kama mtu atateswa na kutoa siri Kuna haja gani ya kumpoteza uhai wake?

Lengo la watekaji huwa ni nini kwanini watu Hawa wanamiliki silaha lakini watu wanaowateka wanawauwa kinyama sana
 
Unapomteka mtu unakuwa na nia mbalimbali either kumuadhibu au kupata info lakini in the course ya kumfanya akupe taarifa unazotaka inakulazimu kutumia mbinu mbalimbali ili aweze kusema ikiwemo kumtesa kwa kipigo hapo ndio wakati mwingine unakuta anakufa na hajatoa info au anakuwa amezitoa lakini wanaamua kuua sababu he is no longer useful na amekuwa buŕden na wakimuachia anakuwa hatari kusanua who did it au wanaua ili kuwatisha na wengineo walio pamoja nae.
 
Watekaji wanafanya mambo yao kijinga sana, upo uwezekano wa kufanya utekaji wao bila kuacha alama, sema kinachowasaidia wao ndo wanao fanyia upelelezi huo utekaji kwahiyo wanaamua tu kuacha kuchunguza kesi za utekaji.

ni vile tu tumeamua kuacha kushuguliia suala la utekaji ila we can find intelligence leading to someone and uncover the whole network.
 
Kila jambo na wakati wake. kama tumefikia hapa ujue yajayo yanasikitisha

naiona ccm ikianguka kwa kasi
 
Mateso makali ndiyo yanayopelekea kifo.
Unapewa kipigo kikali ukitakiwa utoe taarifa wanayoitaka.
Maumivu yakizidi na hasa ukiwa na tatizo la kiafya kifo kinakuhusu.
 
Wanapata kiki kuwatesa na kuua watu. Ndio mentality yao au ndiyo maagizo ya Amiri jeshi mkuu wao. Hawana budi kuyatekeleza kikamilifu au unaweza kufukuzwa kazi. Ukiyatekeleza vizuri unapanda cheo.
 
Sababu kuu ni kuogopesha waliobaki.
Ndio maana wanawatupa sehemu ambazo wanafahamu watapatikana, wakiwa wamewatoboa macho na kumwagia tindi kali usoni.
 
Ila hao watekaji huwa wanaweweseka, wanapitia vipindi vigumu sana maishani wakibahatika kuwa hai... Hebu nifunge mdomo wangu mmh!!! 🤐
 
Nimekaa nawaza kwanini watekwaji wanakufa vifo vya kuteswa sana mpaka kiasi Cha kufikia hatua ya kupigwa nondo mpaka kufa lengo la watekaji ...
Majambazi wamepewa cheo cha malasau wa Faita kwa hio wakikudavila jambazi Hana huruma Hana Mswalie Mtume anataka chake huna unafumuliwa Ubongo hio ndio kazi ya jambazi hio kuitwa malasau ni kunogesha tu maneno Ila ni majambazi yanayokua trained na likarise kuwalinda waliopo madarakani sio kulinda likarise km inavyoelezwa hapana

Na wakikudaka the more wanakupa torturing ndio the more unawaambia mnachelewesha nini Wazee si mniue tu yaishe na hapo ndipo wanafanya execution of elimination goodbye rip
 
Back
Top Bottom