Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Geheime Staatspolizei...Gestapo
Majambazi wamepewa cheo cha malasau wa Faita kwa hio wakikudavila jambazi Hana huruma Hana Mswalie Mtume anataka chake huna unafumuliwa Ubongo hio ndio kazi ya jambazi hio kuitwa malasau ni kunogesha tu maneno Ila ni majambazi yanayokua trained na likarise kuwalinda waliopo madarakani sio kulinda likarise km inavyoelezwa hapanaNimekaa nawaza kwanini watekwaji wanakufa vifo vya kuteswa sana mpaka kiasi Cha kufikia hatua ya kupigwa nondo mpaka kufa lengo la watekaji ...
Wwe Fuso Parajuani ndiyo nini sasa!!??Tanga tunajiandaa kusoma ile Parajuan.
Mzee MagomaWwe Fuso Parajuani ndiyo nini sasa!!??