Kwanini wanaoteseka na matokeo ya Yanga wengi wao ni mashabiki wa Simba?

Kwanini wanaoteseka na matokeo ya Yanga wengi wao ni mashabiki wa Simba?

Yanga jana kafungwa 2-1 na Costal Union. Lakini cha kushangaza ni kuwa wanaoteseka zaidi na matokeo hayo ni mashabiki wa Simba. Hii inashangaza kwa kweli. Lakini kwakuwa Mungu sio Athumani, kesho El Mareikh watatufuta machozi najua
Daaaaaaah sirudii kuteseka na matokeo ya kidimbwi fc,
Maana ni sawa unamuonea huruma kichaa wakati anaokota makombo kumbe yeye kwake fresh tu.
Kuanzia Leo nitakua nawacheka
 
Back
Top Bottom