Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 9,397
- 12,415
acha uongo mkuu huo sio utalii,Sensitization ni Kipaji sio Elimu au PhD ya Udsm
yupi mkuuNameona kuna mtu anataka kushindana na ric ross..!!
Hahahahahahahahahaha..........
Mkuu kulipa kodi ni tabiaacha uongo mkuu huo sio utalii,
Mkuu tumia akili zako vizuri.Mkuu kulipa kodi ni tabia
Tabia huhamasishwa
Mkuu acha longolongo kulipa kodi ni sheria.Kila penye rizki hapakosi fitna na wivu.
Wenye taaluma hiyo wameshindwa kujiongeza na kuonyeshadalili ya tija,
Mamlaka imeamua kuja na plan B Wachawi sasa haoooo barabarani.
Kaeni na maelimu yenu tuone hawa walioteuliwa watakuwa na faida gani,
Wakishindwa kuleta tija tutaangalia mbele tufanyeje lakini kwa sasa tuache makelele hayasaidii sana.
Angalia rekod ya walioteuliwa kuelimisha mkuu.yupi mkuu
Mkuu acha longolongo kulipa kodi ni sheria.