Kwanini wanaotoa ushuhuda makanisani huwa hawachukuliwi hatua za kisheria?

Ndugu m2mishi,serikali inaelewa umuhimu wa haya makanisa kwani ni moja wapo ya kazi za makanisa haya ni kama therapy kwa wenye matatizo ya akili,,,wengi wa wanaoenda kwenye makanisa haya wana matatizo ya akili kutokana na msongo mkali wa maisha,maradhi sugu,kutopata watoto,matatizo ya ya makazini,n.k,,,,so sio wote wanaosema wamepewa upanga ni kweli{nani kamwona malaika?] si unamkumbuka MALKIA ZAMURADI alisema yeye ni MUNGU? na akasema alienda mpaka mbinguni na kuna magorofa marefu na akapiga story na YESU??{sasa utasema huyu ni mzima kweli????],,,,matokeo yake waumini wake wakaamini na kuanza kumwabudu mpaka wakawa kama mataaira na hapo TISS wakaingia kazini kwani wangechelewa tu yangetokea kama yale ya kenya ya msitu wa shakahoza{wa2 walifunga mpaka kufa ili waende MBINGUNI!!!,,,,so sio kwamba serikali inaacha,no wanawachunguza kwa kuchomeka wa2 wao kujifanya nao ni walokole,ila wakiona dalili za hatri ndo wanaingilia kati!!
 
Hii nimeipenda.
Serikali itakuwa makini sana ikiwa kutakuwa na watu wao ndani ili kuwa na taarifa za mapema.

Yule mama aliwafikisha mbali sana waumini wake, step moja kabla hajawatoa kafara. Ila hao wachunguzi wa kiserikali nao wawe makini maana sisi watu wa kanisani huwa tunaushawishi mkubwa kiasi kwamba anaweza kujikuta mtumishi kificho ameshapewa ushemasi na yeye ndiye anaongoza majukumu ya kimuujiza na kusahau wito wake
 
yap!!
 
Dini zote ndgu, juzi manzese kuna shekhe nae anaombea, sijui ndo anasomea dua kwa wenye matatizo na blah blah kama za kina mwamposa tu.

Tuwe makini na hizi dini.
Kama huyu niliwahi kuhudhuria mahubiri yake Furahisha mwanza.
Alikuwa anauza maji ya upako kwenye tuchupa. Alitoa demo kidogo tu yale maji yaliibua majini kwa wakina mama karibu wote.

Anasema aliyatoa maji yake uarabuni, baada ya demo aliuza vichupa vya kutosha.
 
Huwa nashangaa kuona waislam wakisema ukristo unachezewa wakati hadi kwao iko hivyo hivyo.
 
Ni sawa uulize, mbona Rambo kwenye TV anaua Watu lakini serikali ya USA haimshataki
πŸ™‚πŸ™‚ lakini kuna jamaa katoa ushuhuda wa kanisa lilimuombea bibi mmoja, na mjukuu akachukua maji atatupia chumbani kwa bibi na bibi akafa kweli. Alipokufa kanisa lililipuka kwa furaha nderemo na vifijo.

Huoni kama kuna haja ya uchunguzi wa kifo cha bibi kama kanisa linahusika mkuu.
 

πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Wapo kaole wenzako hapo.
 
Mkuu ni kwanini sasa confession ya kanisani haihesabiki, wakati anakuwa ameconfess mwenyewe, tofauti ya confession ya kanisani na ya sehemu nyingine ni nini
 
Lakini je confession hiyo hiyo akiifanya sehemu nyingine tofauti na kanisani bado serikali itafanya uchunguzi wake au itamhukumu moja kwa moja
 
Lakini je confession hiyo hiyo akiifanya sehemu nyingine tofauti na kanisani bado serikali itafanya uchunguzi wake au itamhukumu moja kwa moja
Uchunguzi ni sehemu muhimu ya mwenendo wa makosa ya jinai. Hata mtu akiri mwenyewe (nje ya mahakama) kutenda kosa uchunguzi ni lazima. Uchunguzi ndio huibua ushahidi na ushahidi ndio huamua hukumu. Bila ushahidi mahakama itaamua vipi?

Mahali pekee ambapo ushahidi wa mhusika mwenyewe una-sound ni mbele ya jaji na sio vinginevyo tena very cautiously. Waliotunga hizi sheria wana akili sana.
 
Mimi nashauri makanisa yote yafungwe mic kwenye vile vyumba vya kuhungama.
Majambazi wengi sana wanaua kisha weekend wanaenda kusamehewa na mchungaji ambae ukute na yeye anakula mke wa mtu.
Sijui nani atamsamehe yeye.
Hayo watajua wao lkn wakristo toka wameambiwa kuna kusameheana kwa kutoa hela kidogo basi wanafanya maasi chungu nzima kisha wanaenda kumwaga mzigo wote wa madhambi kwa elf 10.

Tena ukiwa na laki 1 wachungaji wanakusamehe hata kwa WhatsApp fasta tu.
Huna haja ya kwenda kanisani.
Na ukiwa na laki 3 mchungaji anakuja popote ulipo kukusamehe.
Yaani Imani za kisanii ni janga la dunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…