Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Umeelewa nilichoandika? Au umekuja fasta na baiskeli yako bila ya kusoma nilichoandika?Kwani wewe nani kakuzuia kuingia na kujiunga kwenye siasa ikiwepo kutimiza haki yako na uhuru wa kugombea nafasi utakayo?
Kwa sababu wameshindwa kutengeneza FURSA mpya za ajira!Bila ya kujali Elimu zao au umri wao, wanasiasa wa CCM wamejazana huko kwenye kugombea nafasi za udiwani na ubunge.
Hawahawa wakichaguliwa ama wasipochaguliwa na kupewa madaraka mengine ya kisiasa, utawasikia wakihimiza vijana kujiajiri.
Imekuwaje wao wanajazana kwenye siasa wakiwa na watoto zao huku wakiwaambia watoto wa maskini wajiajiri?
Hii hoja kubwa Sana... Kwa ivo wanajua hata watoto wao hawatapata ajira.Kwa sababu wameshindwa kutengeneza FURSA mpya za ajira!
Huyo hana akili mtu unakua mtumwa wa chama baada ya nchi Nyerere mwenyewe alisema CCM sio mama ake baba ake Nchi kwanza Tanzania watu wanakua wazalendo wa vyama alafu wanawacheka Kenya na Ukabila Kenya na sisi tuko Kwenye kapu MojaUmeelewa nilichoandika? Au umekuja fasta na baiskeli yako bila ya kusoma nilichoandika?
Ndio maana yake. Na kama wakitengeneza FURSA za ajira za maana kabisa then hawatapata chawa wa kuwajaza kwenye malori ili kuuhadaa umma,watashindwa namna ya kuhalalisha uharamia wao wa kuonesha kwamba still wanakubalika hasa na wanyonge huko vijijini. Mtu kama Lucas Mwashambwa atakuwa busy na shughuli zake za kumuingizia kipato,hatakuwa na muda wa kumbubujikia mtu machozi. Ndio hii wanasemaga ukikimbia nchale,ukikaa nchale!.Hii hoja kubwa Sana... Kwa ivo wanajua hata watoto wao hawatapata ajira.