Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Wagombea Ubunge wengi safari hii walijiwekea walinzi bunafsi. Baadhi ya Walinzi Hawa uwakuti kila sehemu ila uonekana pale mgombea anapokwenda maeneo walipo wanahabari.
Mzee baba akiwa kwenye nyumba ya ibada asilimia kubwa ya waumini uwa ni Walinzi, Jana nimemwona Gwajima na Abbass wakiwa kanisani nyuma yao Kuna Walinzi, nikajiuliza ulinzi uliopo kanisani hautoshi hadi tuongeze na wanadamu nyuma yetu?
Ni sahihi kwenye masinagogi tukajitwalia utukufu kwa kuwaaminisha wanadamu kuliko Mungu?
Hivi hata huko kwenye miungu (waganga) tunaingiaga na Walinzi? Bar, tunaingiaga na Walinzi? Lodge na mahotelini tunaambianaga na Walinzi?