Kwanini wanasiasa wanatudanganya sana?

Joined
Mar 16, 2022
Posts
65
Reaction score
83
Wakuu poleni na majukumu,

Kwa nini wanasiasa wanatudanganya sanaz Kauli za PM ngapi zinasema kuhushu kushuka bei vitu tangu hata kabla ya vita ya huko ukraine? Vina shuka au ndo vinaongezeka? Kwanini asiwe mkweli.

Ni tume ngapi zilizoundwa na PM, je mpka leo ripoti imekuja?

Niwakumbushe tu hizo tume.

01: Tume ya ajali ya moto pale Morogoro iliyoua watu wakati wanachota petrol.

02: Tume ya mauji ya kuungua soko huko DSM.

03. Tume ya mauaji ya mfanyabiasha wa madini kule Mtwara.

04. Tume ya mauaji yanayofanywa na askari wa wa maliasili kwa wananchi.

05. Tume ya kuchunguza vifaa vya vya ujenzi kupanda bei ghafla.

JE , HIZO TUME ZIMEPOTELEA WAPI?

 
Ni kwasababu wadanganyika wanakubali kudanganywa.

"Mchagua hovyo hapaswi kulalamika hovyo" by Jenerali Ulimwengu
 
Wanasiasa wote kwao hii ni biashara kama biashara nyingine.
 
Kwasababu wao hawafanyi shopping wanafanyiwa… halafu pesa wao wanazo kwahio hawaamini na haiwaingii akilini km mtanzania kweli hana pesa ya kula wanaona km mnawadanganya
 
as long as anatoka ccm
 
Kwasababu wao hawafanyi shopping wanafanyiwa… halafu pesa wao wanazo kwahio hawaamini na haiwaingii akilini km mtanzania kweli hana pesa ya kula wanaona km mnawadanganya
Kila kitu wanalipiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…