Kwanini wanasimba wamekuwa mstari wa mbele kumpiga Vita Zahera?

Simba na Yanga hazijawahi kuombeana mambo mema.
Simba na Yanga ni waswahili, wana msemo huku pwani unasema "Adui yako muombee njaa"
Huu ndiyo muda ambao sisi wana Simba tunaomba mabaya yote yaikute Yanga ili siku tukikutana tuicharaze bao 7 au zaidi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Siku zote Yanga inashughulika na issue zake. Lakini Mbumbumbu bila kuitaja Yanga wanaugua.
 
Tumeuliza uwezo wake tu wala hatujampiga vita yoyote ile , makocha wabovu wa kigeni
wanapokuja kufundisha nchini mwetu wanadumaza soka letu
Hivi ulishawahi kujiuliza kikosi kile cha Yanga cha msimu uliopita ndio angekuwa anafundisha kocha Patrick ausems je timu ingekuwa katika nafasi ipi? Yanga ina wachezaji wa kiwango cha kawaida sana na wengine wabovu kabisa ila kocha ndio mzuri. Lakini Simba wamebahatika kuwa na wachezaji wenye vipaji vya hali ya juu sana lakini kocha sio mzuri. Uzuri wa kocha unakuja katika swala la mbinu na swala la kiufundi.
 
Kumbe kweli wacongo ni wachawi aiseee !! yaani Zahera Mwinyi anafananishwa na Uchebe !
 
Kumbe kweli wacongo ni wachawi aiseee !! yaani Zahera Mwinyi anafananishwa na Uchebe !
Uchebe anazidiwa uwezo hata na Masoud juma. Kinachombeba Uchebe ni kwamba Simba ina wachezaji wengi wazuri na wenye vipaji. Naomba twende kwa fact, naomba niorodhoshee wachezaji takribani 13 wa kikosi cha Yanga cha msimu uliopita ambao unaona wamewazidi uwezo wachezaji wa kikosi cha kwanza cha simba kiasi kwamba wanauwezo wa kuchukua namba pale Simba.
 
Uzuri wa kocha ni ushindi wa timu yake , huyo masoud juma huko kwao alikopata kazi nako katimuliwa , huko nako hakuna wachezaji wazuri ?
 
Uzuri wa kocha ni ushindi wa timu yake , huyo masoud juma huko kwao alikopata kazi nako katimuliwa , huko nako hakuna wachezaji wazuri ?
Kwani masoud juma alivyokuwa na kikosi cha simba alipoteza mechi ngapi na alishinda mechi ngapi tukiweka katika asilimia za kushinda dhidi ya kushindwa atakuwa kazidi kwenye upande upi? Tusihame kwenye hoja. Hoja ni Uchebe vs Zahera, swali langu kwako. Je kwa aina ya wachezaji waliokuwepo Yanga msimu uliopita, je angepewa uchebe angeweza kuifanya Yanga ichukue kombe la ligi kuu msimu uliopita mbele ya Simba au unaiweka Yanga katika nafasi gani?
 
Asihame hoja wakat wew ndo umemuingiza masoud alaf una kwepa
 

Mimi huwa nawapotezea tu. Wengi wao hamna kitu upstairs. Wanatanguliza ushabiki kuliko ukweli kwenye soka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…