Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Mambumbumbu hao wala usipate shida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Jambo la kushangaza kuona kuwa wanasimba ndo wako Mstari wa
mbele Kumpiga vita kocha wa Yanga kuwa ni Mbovu kuliko wana Yanga
Wenyewe, Mpaka sasa nashindwa kuelewa wema huu kwa timu ya Wananchi
unatoka wapi?? Wakati tumezoea kuwaona wakiwa na Furaha yanga inapofanya vibaya.
Fitna kaka, tunapiga fitnal hak'ii kumtoa kwenye reli, akipagawa team yake inafanya vibaya maisha yanasonga vema kwa upande wetu
Siku zote Yanga inashughulika na issue zake. Lakini Mbumbumbu bila kuitaja Yanga wanaugua.Ni Jambo la kushangaza kuona kuwa wanasimba ndo wako Mstari wa
mbele Kumpiga vita kocha wa Yanga kuwa ni Mbovu kuliko wana Yanga
Wenyewe, Mpaka sasa nashindwa kuelewa wema huu kwa timu ya Wananchi
unatoka wapi?? Wakati tumezoea kuwaona wakiwa na Furaha yanga inapofanya vibaya.
Hivi ulishawahi kujiuliza kikosi kile cha Yanga cha msimu uliopita ndio angekuwa anafundisha kocha Patrick ausems je timu ingekuwa katika nafasi ipi? Yanga ina wachezaji wa kiwango cha kawaida sana na wengine wabovu kabisa ila kocha ndio mzuri. Lakini Simba wamebahatika kuwa na wachezaji wenye vipaji vya hali ya juu sana lakini kocha sio mzuri. Uzuri wa kocha unakuja katika swala la mbinu na swala la kiufundi.Tumeuliza uwezo wake tu wala hatujampiga vita yoyote ile , makocha wabovu wa kigeni
wanapokuja kufundisha nchini mwetu wanadumaza soka letu
Kumbe kweli wacongo ni wachawi aiseee !! yaani Zahera Mwinyi anafananishwa na Uchebe !Hivi ulishawahi kujiuliza kikosi kile cha Yanga cha msimu uliopita ndio angekuwa anafundisha kocha Patrick ausems je timu ingekuwa katika nafasi ipi? Yanga ina wachezaji wa kiwango cha kawaida sana na wengine wabovu kabisa ila kocha ndio mzuri. Lakini Simba wamebahatika kuwa na wachezaji wenye vipaji vya hali ya juu sana lakini kocha sio mzuri. Uzuri wa kocha unakuja katika swala la mbinu na swala la kiufundi.
Uchebe anazidiwa uwezo hata na Masoud juma. Kinachombeba Uchebe ni kwamba Simba ina wachezaji wengi wazuri na wenye vipaji. Naomba twende kwa fact, naomba niorodhoshee wachezaji takribani 13 wa kikosi cha Yanga cha msimu uliopita ambao unaona wamewazidi uwezo wachezaji wa kikosi cha kwanza cha simba kiasi kwamba wanauwezo wa kuchukua namba pale Simba.Kumbe kweli wacongo ni wachawi aiseee !! yaani Zahera Mwinyi anafananishwa na Uchebe !
Uzuri wa kocha ni ushindi wa timu yake , huyo masoud juma huko kwao alikopata kazi nako katimuliwa , huko nako hakuna wachezaji wazuri ?Uchebe anazidiwa uwezo hata na Masoud juma. Kinachombeba Uchebe ni kwamba Simba ina wachezaji wengi wazuri na wenye vipaji. Naomba twende kwa fact, naomba niorodhoshee wachezaji takribani 13 wa kikosi cha Yanga cha msimu uliopita ambao unaona wamewazidi uwezo wachezaji wa kikosi cha kwanza cha simba kiasi kwamba wanauwezo wa kuchukua namba pale Simba.
Kwani masoud juma alivyokuwa na kikosi cha simba alipoteza mechi ngapi na alishinda mechi ngapi tukiweka katika asilimia za kushinda dhidi ya kushindwa atakuwa kazidi kwenye upande upi? Tusihame kwenye hoja. Hoja ni Uchebe vs Zahera, swali langu kwako. Je kwa aina ya wachezaji waliokuwepo Yanga msimu uliopita, je angepewa uchebe angeweza kuifanya Yanga ichukue kombe la ligi kuu msimu uliopita mbele ya Simba au unaiweka Yanga katika nafasi gani?Uzuri wa kocha ni ushindi wa timu yake , huyo masoud juma huko kwao alikopata kazi nako katimuliwa , huko nako hakuna wachezaji wazuri ?
Asihame hoja wakat wew ndo umemuingiza masoud alaf una kwepaKwani masoud juma alivyokuwa na kikosi cha simba alipoteza mechi ngapi na alishinda mechi ngapi tukiweka katika asilimia za kushinda dhidi ya kushindwa atakuwa kazidi kwenye upande upi? Tusihame kwenye hoja. Hoja ni Uchebe vs Zahera, swali langu kwako. Je kwa aina ya wachezaji waliokuwepo Yanga msimu uliopita, je angepewa uchebe angeweza kuifanya Yanga ichukue kombe la ligi kuu msimu uliopita mbele ya Simba au unaiweka Yanga katika nafasi gani?
Nimekwepa kitu gani?Asihame hoja wakat wew ndo umemuingiza masoud alaf una kwepa
Hujui unachoongea hataYanga hawana abavu wa kumfukuza Zahera kwani ndie mdhamini, msemaji na kocha wa Yanga.
Ni Jambo la kushangaza kuona kuwa wanasimba ndo wako Mstari wa
mbele Kumpiga vita kocha wa Yanga kuwa ni Mbovu kuliko wana Yanga
Wenyewe, Mpaka sasa nashindwa kuelewa wema huu kwa timu ya Wananchi
unatoka wapi?? Wakati tumezoea kuwaona wakiwa na Furaha yanga inapofanya vibaya.
Sawa sawa. Jana napo nilimuona uwanjani japo sijui matokeo
Tunaendelea kuangaliaUmeona Uwezo wake?
Duh.Hata Yanga fans ndio wanaomsapoti Kilomoni