Kwanini wanauliza baada ya tendo?

kaka kwanini unaniumbua hivi? mbele ya kadamnac jamani.

Si muhimu kumjibu yeye, lakini naomba ujibu hili la kwangu. Hivi ati bado kuna wanawake wanaolewa wakiwa na bikra? Au tuseme hata nikimpata gf mpya nikamkuta bikra is that normal, or isn't something wrong with her?
 
TII KIU YAKO halafu ON TO THE NEXT ONE
 
Pole sana mkuu....! Inaonekana roho iko juu....!
 
hivi bado kuna watu wanafanyaga hayo mambo bila vitendea kazi?...haaa haya mambo bwana, mie nilikuwa ckubali kabisa mbegu ya mwanaume iingie mwilini kwangu, kwa ajili ya nini wakati kuna vitendea kazi?

i like hiyo terminology....vitendea kazi....aka tools of trade :glasses-nerdy::glasses-nerdy:
 
"Tumefanya bila kondom, nikipata mimba je?"
Yaani hofu ya ukimwi na magonjwa mengine ambukizi hana, hofu kuu ni mimba tu.

Matokeo ya Ukimwi ni ya muda mrefu, lakini matokeo ya mimba ni ya muda mfupi, kama kawaida ya binadamu, katika kila kitu tunachohofia ni muda.
 
Nilimuuliza dada yangu hivi.....

Kwani ulishafanzwa na wangapi?

Kumbe siku ile tunacheza alaji kwenye harusi yako hukuwa bikira? LOL!

Dada yangu akanijibu hivi!!

kaka kwanini unaniumbua hivi? mbele ya kadamnac jamani.

Kumbe sikujua mpaka aliponistua mtumishi huyu hapa......

Asprin unatarajia kujibiwa hili swali? Utangoja milele!
Hivi ulijuaje kamanda?:confused2::confused2::confused2:
 
Ni hapo tu ninapotatizika na akili za hawa (mama na dada zetu).
Kwani huwa wanaogopa mno MIMBA, kuliko magonjwa mengine yoyote. NI MWANAMKE malaya tu (anayeuza uchi) ndiyo anakuwa makini wakati wa kusex. wengineo maamuzi yote anayo mwanaume, pERIOD.
 
hizo ni type za wanawake wenu mnazokutanaga nazo...
 
Mara nyingi ni kwa sababu ya Mtu Mate kumdondoka, kanyama kameshikwa na mtego kiulaini, IBILISI kaja juu, Mtumeeee!!!!!!!!.Maji kesha mwagika, hamadi mwana wa watu, yabaki kumsalia mtume
 
Mkuu hilo swala ni zito sana kumbuka shughuli inavyokuwa siku ya kwanza sitaki nataka nyingiiii.Hata hiyo condom utaikumbuka na ukikosea kukumbuka condom unamkuta mwenzio keshavaa nguo zamani yupo mlangoni,ndo maana watu wengi yanawakuta hayo.Na kwa wengine wale waniangusage sijui muda wa kuvaa zana unatoka wapi maana pilka zake mpaka ulipate tundi anazijua bwana..............
 
Hivi kondomu inapatikana wapi na inavaliwaje? Sisi tuliozoea "adamu na eva" aka "live cables" aka "pure leather" aka "wana-utelezi" hatujui hayo mambo yenu ya cjui kondoo-mgumu, mapulizo nk. Tunaambiwa tu kwamba siku hizi kuna kondomu za kupikia na kupakulia, kondom za mkono wa bibi harusi, na kondom wanazovaa magolikipa wa mpira wa miguu. Tumeambiwa kwamba kuna kondomu za akina mama sasa haya mambo ya kuingiza kiroba kwenye nyeti za akina mama mbona ni sawa tu na utengenezaji wa LIMBWATA? Tuelimisheni wajemeni.
 
hivi bado kuna watu wanafanyaga hayo mambo bila vitendea kazi?...haaa haya mambo bwana, mie nilikuwa ckubali kabisa mbegu ya mwanaume iingie mwilini kwangu, kwa ajili ya nini wakati kuna vitendea kazi?
Nyamayao nilidhani ni mkubwa kumbe umeanza kungonoka kipindi cha kondomu? enzi zetu ilikuwa kupata kondom mpaka uwe na ndugu hospitali ya muhimbili tena zilikuwa kwa ajili ya kuzuia mimba na ukiivaa demu anaweza kukimbia
 
Hii inaonyesha wakaka hawajali kabisaaaaaaaaaaaaaaa! maana wao mimba hawapati, so kazi kwa anayepata mimba kujilinda. Tutafika kweli jamani?
 
Nyamayao nilidhani ni mkubwa kumbe umeanza kungonoka kipindi cha kondomu? enzi zetu ilikuwa kupata kondom mpaka uwe na ndugu hospitali ya muhimbili tena zilikuwa kwa ajili ya kuzuia mimba na ukiivaa demu anaweza kukimbia

Funzadume bwana..lol, kwani kipindi cha kondom ni kipi?...
 
kumbe hata jina lako hukusingiziwa,linaendana na hiyo ''comment'' yako
 
Na wengine ndio kabisa wewe mwanaume usipochukua condom ujue ndio imetoka hiyo..atakuuliza tu condom unazo? ukimwambia sina kinachofata ni " nikipata mimba shauri yako" hovyooo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…