Kabisa, likikubali usiombee kila kitu ni hewala bwana!limbwata!
Siyo Limbwata hata kidogo, bali ni udhaifu katika uongozi wa familia na uoga wa kutoa maamuzi magumu kama serikali ya JKlimbwata!
Utakuta mwanamme ana mke na watoto,hao watoto mkeo ni mama yao wa kambo, na huyo mke anawanyanyasa kishenz hao watoto,lakni wanaume tunauchuna kama hatuoni vile.hadi hao watt wanapata madhara kimasha au kisaikology nawengine wanageuka chkoraa, reseach yangu ndogo inaonesha asilimia 90 ya wananume hatusolve ishu kama hizo,wanaume tuwe macho tutenganishe kati ya mapenzi na future za watoto.nampenda waifu wangu lakini OLE WAKE ANYANYASE WATOTO KWA KISINGIZIO ETI SIO WAKE, ATAKOMA!
na mimi kama baba ni marufuku zaidi mwanangu kulelewa na baba wa kambo_hapo sasa.Mimi kama mama marufuku mtoto wangu kulelewa na mama wa kambo, mpaka afike umri wa kujitambua
Mimi kama mama marufuku mtoto wangu kulelewa na mama wa kambo, mpaka afike umri wa kujitambua
umri gani,ananyanyaswa tu hata kama yupo secondary.mm yamenikuta hadi nafika seconary iliniathiri kisaikolojia hadi ikanisumbua kwenye masomo yangu.Mimi kama mama marufuku mtoto wangu kulelewa na mama wa kambo, mpaka afike umri wa kujitambua
Mimi kama Baba, ni marufuku wanangu kumsumbua mama yao wa kambo, kisa eti siyo mama yao mzazi.Mimi kama mama marufuku mtoto wangu kulelewa na mama wa kambo, mpaka afike umri wa kujitambua
Kama unamsimamo huo HONGERA sana .....wengine sijui inawakolea sana au ujinga sifahamu watoto wana nyanyaswa na yeye hasemi halafu na yeye anajiita mwanamme.