kwanini wanaume hatuuoni upuuzi huu!@^&&,,@

kwanini wanaume hatuuoni upuuzi huu!@^&&,,@

nampenda waifu wangu lakini OLE WAKE ANYANYASE WATOTO KWA KISINGIZIO ETI SIO WAKE, ATAKOMA!

Mimi sijaoa ila nami nasema ole wake huyo mke aninyanyasie mwanangu. Nitampa kilema cha maisha. Kwanza, mwanangu doesn't take shit from no one. Akihisi tu kanyanyaswa..she has me on speed dial. And for her I'll drop everything I'm doing just to tend to her.
 
jamani tuwapende watoto wadogo,tusiwanyanyase,tusiwabague,tuwape uhuru wa kucheza,tuwape Elimu.Mungu bariki kizazi chetu kikue kwa furaha na aman waje kutulea sisi wazazi wao tutakapo zeeka.mia
 
Mimi sijaoa ila nami nasema ole wake huyo mke aninyanyasie mwanangu. Nitampa kilema cha maisha. Kwanza, mwanangu doesn't take shit from no one. Akihisi tu kanyanyaswa..she has me on speed dial. And for her I'll drop everything I'm doing just to tend to her.
we are sailling in the same boat brother,...Nyani hebu nenda chungulia mjadala kwenye chumba cha intelligence_i knw you can add value mkuu...respect
 
Mimi sijaoa ila nami nasema ole wake huyo mke aninyanyasie mwanangu. Nitampa kilema cha maisha. Kwanza, mwanangu doesn't take shit from no one. Akihisi tu kanyanyaswa..she has me on speed dial. And for her I'll drop everything I'm doing just to tend to her.



I have one. To me, she is above every thing. More than who ever will be my wife...!?
 
Ukweli ni kwamba MAMA ama BABA wa kambo hatakiwi kuaminiwa asilimia 100 katika malezi ya watoto anaoishi nao,,,uchungu wa mwana aujuae mzazi bwana!
 
ukindua utamfanya nini maana umeishia atakoma nini sasa utafanya..
 
Msisahau kuna wababa pia hunyanyasa watoto wa wake zao jamani. Mie nilisimuliwa na mke wa binamu yangu,sikuamini kama ndugu yangu anaweza kuwa mshamba na mbinafsi namna ile! Japo unyanyasaji ni silika ya mtu!
 
Msisahau kuna wababa pia hunyanyasa watoto wa wake zao jamani. Mie nilisimuliwa na mke wa binamu yangu,sikuamini kama ndugu yangu anaweza kuwa mshamba na mbinafsi namna ile! Japo unyanyasaji ni silika ya mtu!

Mnyanyasa watoto yeyote yule ni mbaya! Mimi mwanangu hawezi kunyanyaswa pasipo mimi kujua. That's how involved I am as a parent.
 
problem inaanza kwa watu wengi kutojua hata 'how to live ' na how to happy.
huwezi kumnyanyasa mtoto ukawa una furaha kwenye life yako.....unless wewe sio mzima...
 
kama unamsimamo huo hongera sana .....wengine sijui inawakolea sana au ujinga sifahamu watoto wana nyanyaswa na yeye hasemi halafu na yeye anajiita mwanamme.

hamna kuwakolea wala nini wanakuwa wamekamatwa unyayo na kupumbazwa tu
 
Mwanaume asiyejali kuhusu watoto hata kama si wa kuzaa yeye hastahili uitwa mwanaume; uanaume ni pamoja na kufanya maamuzi magumu; wakati mwingine hayawezi kuufurahisha upande wa pili
 
Utakuta mwanamme ana mke na watoto,hao watoto mkeo ni mama yao wa kambo, na huyo mke anawanyanyasa kishenz hao watoto,lakni wanaume tunauchuna kama hatuoni vile.hadi hao watt wanapata madhara kimasha au kisaikology nawengine wanageuka chkoraa, reseach yangu ndogo inaonesha asilimia 90 ya wananume hatusolve ishu kama hizo,wanaume tuwe macho tutenganishe kati ya mapenzi na future za watoto.nampenda waifu wangu lakini OLE WAKE ANYANYASE WATOTO KWA KISINGIZIO ETI SIO WAKE, ATAKOMA!
................tawire baba tawireee
 
Kumbuken waganga wa jadi wanavyoroga bila huruma utakuta baba kawa kama ndondocha kwa mama
 
Mara nyingi hii hutokea saana, But kama ilivo ngumu kujua tabia ya mwanao mtaani ndo ilivo ngumu pia kujua tabia ya Mkeo mdogo kwa wanao... Wanawake wengi wa sampuli hii ni wajanja mno maana hua na maneno ya kujenga kuhusu hao watoto kwa baba yao while at the same time akiwatesa asipokuwepo... Huku as time goes on anaanza kuzusha tabia mbovu kwa watoto hao ili tu baba yao awaone wao ndio wakosaji. Na tamaduni zetu hizi za kaka/baba zetu kurudi hali watoto wamelala ndo balaa kabisa maana haelewi nini kinaendelea kwa watoto humo ndani... sad.

ukweli katika suala zima la unyanyaswaji wa watoto wanaume huwa chanzo kikubwa. kuna watoto ambao wamefiwa na mama hao hawana jinsi lakini kundi kubwa la hawa watoto wakambo ni matokeo ya kuzaa nje ya ndoa, kama baba asipokuwa makini lazima kutakuwa na unyanyasaji, baba anatkaiwa kuwa karibu na familia (mke na watoto) atambue nafasi ya kila mmoja katika maisha yake, atenge muda wa kukaa pamoja kama familia, awe karibu na watoto wake hasa akizingatia kuwa mama yao hayupo, hii itawajengea watoto ujasiri wa kuzungumza pale wanapoona mambo hayakai sawa, lakini utakuta baba hana muda na familia, muda wote yuko bize kurudi uck wa manane, hajui lolote linaloendelea ndani ya nyumba, siku akija kushtuka nyumba imesambaratika.
 
Ukicheka na mbwa utaingia nae mckitin. Baba ukionyesha mcmamo mama wa kambo ana uwezo wa kulea mto2 wa mumewe km wake wa kumzaa mradi 2 heshima ifate mkondo wake.
 
na mimi kama baba ni marufuku zaidi mwanangu kulelewa na baba wa kambo_hapo sasa.

We ndio utakua ndio yule mzazi mwenzangu nini, maana na mimi nilipigwa mkwara huo huo lol imebidi hata nicheke mwe! Nikachekecha akili alivyofika miaka nane umri ambao kisheria angeweza kuwa tayari kachukuliwa kwenda lelewa na mama wa kambo nikasema potelea mbali wacha mtoto aende shule ya bweni asilelewe na mama wa kambo wala baba wa kambo ili kila mtu awe na amani. Na kweli wote tuna amani
 
Wanaume wengi kwa tabia, we don't spend enough quality time with our kids. Inakuwa ngumu kuwajua na pengine kuwasaidia sehemu ambazo kama wangelipata msaada wangeweza kuboresheka na kuwa watu wenye manufaa zaidi. Hili linatufanya hata sehemu ambazo kuna tatizo linalowezeza kudhibitika, tusiweze kuliona na kulirekebisha. Hawa watoto wanatuhitaji sana, na wanaume wa kisasa tukubali tusikubali, we are part of the process of raising kids zaidi ya kulipia ada na kuhakikisha wanakula pia. Kama baba yangu angeliweza kurudisha muda nyuma,najua angelifanya hivyo hivyo maana siku ambayo I was making my own decisions, he realized that we don't think on the same page...it was his mistake!
 
Back
Top Bottom